Kwa mujibu wa shirika LA afya aduniani( WHO). Wamesema wazee wanaanzia 65+. Huyo Chinga alikuwa anamalizia ujana wake, ili awe mtu wa makamu.Huyo kijana wa miaka 48 anapatikana tanzania tu....na anaweza kuwa mwenyekiti wa BAVICHA AU UVCCM
Yaa 70% zote zinaenda kuwapenda watu wengine wewe unajiachia 30% tu?Dogo aliona bora yaishe kuliko kuendelea
Watu wa Arusha wanaongoza sana kwa hisiaaa -- akishapachika kitu moyoni ni ngumu kukiondosha
Tupende wenza 60%, 10% ndugu na 30 % jipende mwenyewe
Miaka 48 ni Mzee? Ukifikisha hiyo miaka ndiyo utajua kwamba 48 ni kijana au Mzee.....Usipojitunza hata 35 unaweza ukaitwa Babu....Uzee ni muonekano na si umri.Huyo kijana wa miaka 48 anapatikana tanzania tu....na anaweza kuwa mwenyekiti wa BAVICHA AU UVCCM
😅😅😅Huyo kijana wa miaka 48 anapatikana tanzania tu....na anaweza kuwa mwenyekiti wa BAVICHA AU UVCCM
Huyo kijana wa miaka 48 anapatikana tanzania tu....na anaweza kuwa mwenyekiti wa BAVICHA AU UVCCM
Kifo Kichunguzwe.
Ndugu Wasizike Mwili.