Arusha: Aliyeua na kuondoka na kichwa cha mlinzi ni mlinzi mwenzake

Kwani we ndo umeua.
Kuua mtu kwa kudhamilia ni kiwango cha chini sana cha kufikiri.Labda tu kama unatamani ugali wa bure jela baaada ya maisha kukupiga
Ukitamani ugali WA bure siyo uue, huyo angeiba kuku Tu WA jirani na kitenge kwenye kamba angefungwa, akifika anaiba Duka la sabuni na ndoo ya mafuta
 
Aisee wizi huo mtaani wanakuua dakika moja tu. Ni heri ukavute bange kituo cha polisi kuliko kuiba kuku za mwananchi aliyepigika na msoto wa mitozo.
Ukitamani ugali WA bure siyo uue, huyo angeiba kuku Tu WA jirani na kitenge kwenye kamba angefungwa, akifika anaiba Duka la sabuni na ndoo ya mafuta
 
Hivi hili jina MOLLEL uko Arusha na Moshi ni jina la ukoo? Mbona linatumika sana uko kaskazini
 
Back
Top Bottom