Arusha: Aliyeua na kuondoka na kichwa cha mlinzi ni mlinzi mwenzake

Hizi tabia za kishetani zilipandikizwa na yule jamaa aliyepo motoni.
Unalaana wewe sio bure. Mauaji ya holela yalipamba moto kipindi cha pili cha kikwete akaja jemedari Magufuli akakomesha huo upuuzi. Ktk kipind chake hatukuona askari wala RAIA wakiuwana hovyo.

Utaniambia watu walikutwa kwenye viroba nikikuuliza majina yao huwezi nitajia. Au nikikuuliza jamaa waliolalamika kupotelewa na ndg zao pia huwezi nitajia.

Wauwaji na waongo nyinyi, damu isiyonahatia itaendelea kuwalilia maisha yenu yote.
Ni mengi yaajabu yanakuja hamtatawala kwa amani
 
Mtu wa kwanza kuhojiwa lazima angekua huyo mlinzi mwenzake sasa itakuwa amekamatwa kirahisi kutokana na maelezo yake .
 
Mrudieni Mungu na mtubu hakuna namna
Wahubiri wajitathmini naona sadaka zimepungua nao wapo kwenye mgomo baridi
Hakuna kulaani haya matendo tena
 
Ina maana kila mwenye mipango yake ya mauaji anaona hii ndio awamu ya kumaliza kazi kiwepesi? Ni kujidanganya!

Jeshi la polisi nalipongeza kwa kujiongeza katika taaluma ya uchunguzi kwani washukiwa wanakamatwa sana tofauti na zamani.
 
Kitu Cha kufiria kuhusu mauaji haya ni kwamba Hawa wanaokamatwa Wala hawakatai yaani wanakiri right away ..
 
Back
Top Bottom