Arusha: Aliyeua na kuondoka na kichwa cha mlinzi ni mlinzi mwenzake

Hizi tabia za kishetani zilipandikizwa na yule jamaa aliyepo motoni.
Yaani vyeti feki, wavivu, wadhulumaji, watumishi hewa, wala rushwa hamjaridhirika na kifo cha Magufuli mnamzushia mambo ya hovyo mpaka sasa mnachuki nae kamfukueni mtafune sasa maana chochote kikitokea cha hovyo lazima mtaje
 
Hadi sasa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kudhibiti hii hali, hii serikali sasa haina meno kabisa mda si mrefu ujambazi utashamiri kila kona kama hili tu wanaliona ni jambo la kawaida.
Hivi kwa tukio kama hili unaanzaje kulaumu polisi?
 
Hivi kwa tukio kama hili unaanzaje kulaumu polisi?
20220204_160105.jpg
 
KICHWA CHA MLINZI WA SHULE ALIYEUAWA CHAPATIKANA KWA MLINZI MWENZAKE.
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Raymond Mollel ammbaya amekamatwa kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa mlinzi wa shule ya Winnings Spirit iliyopo eneo la Terati jijini Arusha, Issa Dinaiah (57) aliyekutwa ameuawa kwa kuchinjwa huku kichwa chake kikiwa hakipo.
Akizungumzia tukio hilo, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Joshua Mwafrango amekiri kukamatwa kwa kumtuhumiwa huyo ambaye mpaka sasa anaendelea kuhojiwa.
“Tumemkamata kijana mmoja anayeitwa Raymond Mollel kwa tuhuma za mauaji hayo. Huyu mtuhumiwa ni mlinzi mwenzake. Raymond na marehemu walikuwa walinzi wa Meya wa Arusha, Maxmillian Iranghe.
“Baada ya kumkamata tulimhoji, amekiri kutekeleza mauaji hayo na kuonesha kichwa hicho.
 
Back
Top Bottom