Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,292
- 129,503
Kwenye ndoa kuna mengine mkuu, ww hujawahi kuona watu wamekaa kwenye uchumba miaka 10 ila wameshindwana kwenye ndoa ya mwaka mmoja?Huo uchumba wa miaka 6 yaani tayari tuna binti ,pika na kupakua😀😀😀.Sumbua sana wakwee.