Arsenal ikishindwa kutwaa Ubingwa wa EPL...

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,356
16,379
Sina shaka kabisa viwango vibovu vya man chester city Chelsea fc man chester untd ndio tiketi ya arsenal kuchukua ubingwa wa EPL this season
Sina shaka kabisa kama timu hizi zingekua katika ubora wao arsenal wangeendelea kutaabika katika EPL
Sina shaka arsenal ni bingwa safari hii kama watachanga karata zao vizuri
Kama wakishindwa bas tena kwa arsenal kua bingwa

Ubovu wa city Chelsea untd ndio unaifanya arsenal kua bingwa msimu huu
 
Kweli mkuu, wakati ndo huu tu... wakishindwa hapo basi tena, maana mwakani ushindani utakua mkubwa sana,
we angalia Chelsea ya msimu ujao itakuaje baada ya msimu huu kuharibu, naamini manchenster united nao watajipanga, Man City ndo
usiseme... pia watu wanaami (ikiwamo na mimi) kuwa Liverpool ni suala la muda kurudi katika ubora wake.
wakati huo huo Guardiola atakua EPL
kweli arsenal wakikosa mwaka huu ndo baasi tena
 
Gunners ikifika march hawajaobgoza kwa tofouti ya point 8 ni ngumu sana maana wenger hana mbinu za ubingwa tena kwa sabb huwez kimtegemea metasaka wakati uba gabriel bench pia una elnemy bench unamuanzisha flamini. Babu angekuwa mkali kwa wachezaj timu hiii sasa ingekuwa na pts 56
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom