secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,167
- 28,202
Endapo Arsenal itatwwa ubingwa wa EPL mambo mengi yanaweza kutokea/kubadilika. Haya 👇ni baadhi tu.
1. Paul kagame atakuwa kibonge maana Arsenal ndo club aioendayo duniani.
3. Mashabiki wa manjesta unaited watazidi kukonda japokuwa uwezekano wa wa kumaliza kwenye top four ni mkubwa kwao.
4. Secretarybird nitanyoa mavuzi yangu ambazo tangu mwaka 2016 niliahidi kuwa nitayanyoa endapo Arsenal wakinyakua EPL.
Haya ni kwa uchache tu, nitazidi kuongeza kadiri muda unavyosonga mbele.
Cc Mbaga Jr
adriz da mbooz.