Arsenal (The Gunners) | Special Thread

35bd8314-4807-4afb-9399-d17cbfe79877.jpeg
 
Labyrinth amekuwa kimya. Mbona hajatuambia Newcastle wameshaanza preseason?

Newcastle United thrashed 8-0 by A-League All Stars in Melbourne as post-season tour ends on low note​

Na je, nini hatma ya timu yake katika mashindano ya Ulaya baada ya Manyumbu kubebe FA?
 
msimu huu Liverpool kabeba kombe, Mancity Epl, Man Utd tumechukua FA halafu ndugu zetu Arseno wapowapo tu kama mazezeta, kila msimu wenyewe kazi yao ni kuwasindikiza wenzao.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu, Arteta hatusemi ni kocha mbaya hapana, huyo ni kocha mzuri kwa timu za Academy ila kwa first league kila msimu mtakua wasindikizaji
Xavi ana misimu miwili tu na Barca na kawapatia mpaka La Liga lakini wamemtimua kwa kuona hatoshei kwa timu inayojielewa, nyie mnaendelea kumkumbatia Failure halafu mnadanganyana humu kua ni Masterclass kumbe ni Masturbation.
Msimu wa 5 huu mnatoka mikono mitupu halafu mnadanganyana humu na Corona Cup, fukuzeni hio Masturbation
manchester-united-252622802-16x9_0.jpg
 
Nimefurahi sana Kipara kufungwa na Mwacity wake maana walitudhulumu penati halali kabisa ya FA semi final iliyotokana na faulo ya Palmer.

Mwacity City Fans Rudini kwenye timu zenu za awali Man Utd SC, Liverpool SC, Arsenal SC, na Chelsea SC...

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
msimu huu Liverpool kabeba kombe, Mancity Epl, Man Utd tumechukua FA halafu ndugu zetu Arseno wapowapo tu kama mazezeta, kila msimu wenyewe kazi yao ni kuwasindikiza wenzao.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu, Arteta hatusemi ni kocha mbaya hapana, huyo ni kocha mzuri kwa timu za Academy ila kwa first league kila msimu mtakua wasindikizaji
Xavi ana misimu miwili tu na Barca na kawapatia mpaka La Liga lakini wamemtimua kwa kuona hatoshei kwa timu inayojielewa, nyie mnaendelea kumkumbatia Failure halafu mnadanganyana humu kua ni Masterclass kumbe ni Masturbation.
Msimu wa 5 huu mnatoka mikono mitupu na huyo Masturbation wenu halafu mnadanganyana humu na Corona CupView attachment 2999320
Hamis77 atawalaani we Flano na AllyPipi, au hutaki wachaambuzi waseme Arse8 vile inavyo-press, drible, keep ball possession na strikers wao hatari Havertz & Jesus? Shauri zenu ohooo...

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Labyrinth amekuwa kimya. Mbona hajatuambia Newcastle wameshaanza preseason?

Newcastle United thrashed 8-0 by A-League All Stars in Melbourne as post-season tour ends on low note​

Na je, nini hatma ya timu yake katika mashindano ya Ulaya baada ya Manyumbu kubebe FA?
Unajua kuna muda nilifikiria ivi hawa mashabiki wa arsenal huwa ni vichaa ama ni upofu wa macho na akili nikafika hitimisho ni false hope ndani ya mioyo yao

Hivi fikiri tu kwa kawaida zimebaki game 5 uwe bingwa ivi kweli unashindwa kukaza 😂😂 halafu wanatoka ma false hopers wanakuambia hii arsenal iko bora wakati ni trophyless, man utd katika misimu yake mibovu tayari ana europa , fa cup na carling cup arsenal sijui ina nini .

Newcastle nilikuambia ndo kwanza tunajenga team ndani ya miaka 5 epl lazima tubebe
 
Huenda wewe ndiye mwenye matumaini hewa na hiyo Newcastle yako.
 
Back
Top Bottom