Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger orphans Mmelwalwaje.
Screenshot_20240525-185339.png
 
Kuna watu hawajachukua kombe lolote msimu huu na bado wamelala hadi muda huu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ziamshe hizo Kima zikaoshe vyombo.
Arsenyau wako na period yao maalumu ya kutupigia kelele na kudanganyana humu, period yao huanza Augost ligi inapoanza mpaka May ligi inapoelekea ukingoni.
Ikifika kipindi cha timu bora kukabidhiwa makombe yao Kima zote zinakimbia na kutelekeza jukwaa lao.
Hii kitu hata ndugu yangu HENRY14 anaijua vizuri na ndie shabiki pekee wa Arsenyo anaeishi bila stress, maana tayari ameshakubaliana hali yake kwa kutambua timu aliyoamua kuishabikia ni FUNGU LA KUKOSA FC[emoji16][emoji16][emoji16]
1716795853005.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tafiti zinaonyesha mashabiki wa Arsenyo ndio wanaongoza kwa Sonono kuliko mashabiki wa timu yoyote duniani.
1716797104921.jpg
 
Nimekwambia hivyo sababu, kabla City hajarudi kwenye peak, nae alikua anatembezewa kichapo. All in all ni ushabiki tu hapa
Mkuu najua tutapoteana ...man city pep ataondoka na tunaweza kuwa tunakaaa misimu hadi misismu Bila makombe ...

Lakin kichapo na historia yetu hapo EPL itasemwa vizazi mpaka vizazi ,hata usiposema wewe watoto wako wataijuia man city Ni Nani ....

Kama ambavyo nyie mnasema mafanikio ya Arsenal ya 2003-2004 mpaka Leo ndio mnajivunia nayo ,na mnajitafita Kurudi kuwa vile ,na asilimia kubwa ndio yalifanya muwe mashabiki ........that is football

Kila MTU anajua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Fukuzeni huyo Tetea wenu, halafu tafuteni kocha yoyote mwenye kipara au kama vipi mpeni hio kazi ya ukocha George Ambangile halafu mtakuja kunishukuru baadae[emoji16][emoji16][emoji16]
1711206124532.jpg
 
Hongereni mashabiki wa Aser8 kwa kuzingatia ule ushauri wangu wa kumaliza mechi za msimu 2023/2024. Sijasikia mashabiki waliojiua.

Nawaandalia ushauri mwingine wa bure kuelekea msimu mpya 2024/2025.

Nitajitahidi kadri iwezekanavyo kuokoa maisha ya mashabiki wa Aser8. Mpira ni burudani hakuna haja ya kujiua.
utakuta wewe ni shabiki la kenge,ambao hadi sasa hamjajua mustakabali
wa timu lenu either mtacheza europa au kikao......
alafu unamcheka mtu ambae hata mpewe misimu mitatu hamtomuweza
 
We kondoo na msimu wako bora una utafauti gani na kenge aliyekua ana msimu mbovu kuliko misimu yote, ni mwehu peke yake ndio anaweza akasimama mbele za watu akajisifia.
nani amekwambia huu ndo msimu wetu bora?
nyie mnaona huu ni msimu bora kwa gunners kwa sababu
kenge na ndugu zenu nyumbu tumewapiga!, ila sisi kama arsenal
tunasema hivi huu haukuwa msimu bora kwetu
msimu wetu bora utakuwa wa 2024/25
 
Wazee wa fezi naona mpo.

Arsenal ibebe kombe la maana nyakat izi kwl?.. Na nyie mpo hapa mnaamin ilo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom