HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Unajua kuna muda nilifikiria ivi hawa mashabiki wa arsenal huwa ni vichaa ama ni upofu wa macho na akili nikafika hitimisho ni false hope ndani ya mioyo yao
Hivi fikiri tu kwa kawaida zimebaki game 5 uwe bingwa ivi kweli unashindwa kukaza 😂😂 halafu wanatoka ma false hopers wanakuambia hii arsenal iko bora wakati ni trophyless, man utd katika misimu yake mibovu tayari ana europa , fa cup na carling cup arsenal sijui ina nini .
Newcastle nilikuambia ndo kwanza tunajenga team ndani ya miaka 5 epl lazima tubebe
Huenda wewe ndiye mwenye matumaini hewa na hiyo Newcastle yako.