Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado tuko na arteta ..
 
Attachments

  • Screenshot_20240419_161636_Instagram.jpg
    Screenshot_20240419_161636_Instagram.jpg
    753.4 KB · Views: 2
rice saka odegard hawa ni worldclass players walio baki hawawezi ingia squad ya Madrid wala city
Hivi wodi klass mnaichukuliaje aiseee, wedi klasi ni wakina kroos,kdb,salah,kane,....binafsi natambua wediklasi kama ubora dhahiri katka kuleta matokeo yenye tija pasipo kushindwa kuwa na udumifu
Pale asenali labda odegaard tu japo nae kuna kipindi alipoteana na arteta akawa anampumzisha,saka kuna umahiri anakosa labda n kwakuwa hapumzishwi na ilikuendelea kuyakuza makali yake.

Leo hii kikosi kimekosa mtu wa kuibeba timu mabegani kwenye nyakati nzito kutokana na uhalisia.
 
CL sio mchezo ......sio makalio kabisa

Bila kuwa na experience hamtakuja kuchukua .... experience unaipata Kwa kupigwa kama hivo ....Bila kukata tamaaa

Kiufupi Ni kuwa kuna siku mtafika hadi final ya CL na mtapigwa ,hili kombe mpaka ulie Kwanza ndio utalipata ....timu zote zimepitia hio hali

Safari bado Ni ndefu
 
Ndugu zetu Arsenyau leo mpo uwanjani mnakipiga na Wolves halafu mnajifanya mmesusa kama vile hamna habari.
Kama hamtaki kutuletea prediction na kutuchambulia kosi la leo basi tuchambulieni hata mchicha

Masingeli tells us Kai Havertz has some similarities with RVP.
Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl.
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwez kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz.

#Wazee wa kudominate league miaka 10+ consecutively tayari pumzi imekata
1713620936311.jpg
 
Ndugu zetu Arsenyau leo mpo uwanjani mnakipiga na Wolves halafu mnajifanya mmesusa kama vile hamna habari.
Kama hamtaki kutuletea prediction na kutuchambulia kosi la leo basi tuchambulieni hata mchicha

Masingeli tells us Kai Havertz has some similarities with RVP.
Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl.
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwez kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz.

#Wazee wa kudominate league miaka 10+ consecutively tayari pumzi imekata View attachment 2969260
Hawa wahuni Wameamua kususia hiki kijiwe chao
 
Mambo ya kurudi juu kileleni ndiyo haya sasa
 
Back
Top Bottom