Labda amewachoka wachawa akina Flano na chawa wake akina mkohoti wanavyomsagia kunguni daily, tushinde tusishinde.
Ila raha tuliyonayo sasa ni miaka 3 nyuma tulikuwa tunapambania kuingia michuano ya Ulaya ila sasa ni kupambania kombe. Kwa watesi wetu sasa sisi kufeli ni kukosa ubingwa wakati kwao kufeli ni kushindwa kuingia top 4. Hamisi anawapigaga sana spana za hivi ndiyo maana ameona awalegezee kamba kidogo. Ila ole wao Mamacita ateleze (nigh impossible) tubebe kikombe,
Kikosi kinaleta matumaini. Hopes Raya learnt a lesson, hatutaona mizaha yake
Kweli Arteta anautaka huu ubingwa.
Hapo liverkuku katoa wachezaji wangapi??View attachment 2980364Most overrated player tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu ni Bukayo Saka. Naona wameshituka saivi kwenye tuzo hayupo
Mimi naona kama kufungwa mechi 5 kwa msimu inamaana hatustahili ubingwa (City kafungwa mara 3 tu na Liverpool mara 4). Sasa kazi ni kuonyesha tu kwamba tumerekebisha makosa.Kweli Arteta anautaka huu ubingwa.
kuna game zilituharibia sana, kwa fomu tulokuwa nayo tulipaswa siku kama ya leo kukamilisha safari ya kuwa mabingwa.
Acha tu hawa Bournemouth nao wakipate cha moto kutoka kwa hawa FFU wa North London.
Wanga wa unyumbuni watakuwa wamechimbia kitu aiseeDuh, kuna nini golini
Fabio Vieira received a straight red for almost exactly the same challenge against Burnley earlier this year. There’s just no consistency with these decisions, but given the technology available that is inexcusable.Huyu jamaa mpaka avunje mtu ndiyo apewe kadi?
😀 😀Htutaki shobo tuache[emoji23][emoji23][emoji23] Arserefa Arsevar nyie umbwa leo mmebebwa mpaka aibu nimeona mimi, bila msaada wa refa mlikua mnakufa goli zisizopungua 6.
Moto mliopelekewa leo lazima mtafute barafu.
Mechi na United wahongeni marefa wawabebe tena wajaa laana nyie, na kombe mtaishia kuliona tu kwenye magazeti Arsenyau kabisa. View attachment 2976136