Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanangu mnamaliza phase4 mikono mitupu, kweli nimeamini phasé 5 ndio phase ya makombe[emoji16][emoji16][emoji16]
Tafuteni kocha wa kueleweka, kwa huyo Mateka makombe yenu yatakua ni pressing na overloading tu.

#Poor Arsenyo
Hyu hyu atatupa kombe🤠🤠....wacha tuone tutashikilia Bomba hadi lini
 
Ni Mimi tu au?Nilikuwa nacheki hii game kama vile nacheki Girona vs Cadiz. Not excited at all. Duuuh!!!Nimekata tamaa kabisa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Hakuna hisia kabisa, wakati tunawakosakosa, wanatukosakosa, tunawafunga. I was like "eeeeeh" kama Huey Freeman during interview with Herzog, if you know what I mean[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hyu hyu atatupa kombe[emoji1783][emoji1783]....wacha tuone tutashikilia Bomba hadi lini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa foward ya kina Sakatonge, Matembele, Chai Kiazi na Alkasus ndio mnatarajia mje kubeba kombe?
Tafuteni kwanza Kocha wa kueleweka ndio muanze kufikiria kuhusu makombe, kwa huyo Mateka nawahakikishia mtafika mpaka phase 10 bila ya kubeba kombe lolote la maana.
Miaka yote furaha yenu itakua ni mwanzo wa ligi tu ila ligi ikishafika ukingoni mtakua mnakutukanana tu wenyewe kwa wenyewe humu na wengine wanakimbia jukwaa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni Mimi tu au?Nilikuwa nacheki hii game kama vile nacheki Girona vs Cadiz. Not excited at all. Duuuh!!!Nimekata tamaa kabisa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Hakuna hisia kabisa, wakati tunawakosakosa, wanatukosakosa, tunawafunga. I was like "eeeeeh" kama Huey Freeman during interview with Herzog, if you know what I mean[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Vijana wamechoka, Arteta ni kama jini kausha damu anaendelea kuwanyonya mpaka waseme
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa foward ya kina Sakatonge, Matembele, Chai Kiazi na Alkasus ndio mnatarajia mje kubeba kombe?
Tafuteni kwanza Kocha wa kueleweka ndio muanze kufikiria kuhusu makombe, kwa huyo Mateka nawahakikishia mtafika mpaka phase 10 bila ya kubeba kombe lolote la maana.
Miaka yote furaha yenu itakua ni mwanzo wa ligi tu ila ligi ikishafika ukingoni mtakua mnakutukanana tu wenyewe kwa wenyewe humu na wengine wanakimbia jukwaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa mkuu chonga ngenga....sisi hyuhyu anatutosha🤠🤠...Bayern wametutoa kwa ajili ya uzoefu wao tu...leo tumeshinda...wacha tuone na ndugu zetu Livakuku kesho watafanya nn
 
Frontline ya Jesus Trossard Saka Havertz imefeli ila Arteta ataendeleza majaribio kwenye gem ijayo pia
 
Sawa mkuu chonga ngenga....sisi hyuhyu anatutosha[emoji1783][emoji1783]...Bayern wametutoa kwa ajili ya uzoefu wao tu...leo tumeshinda...wacha tuone na ndugu zetu Livakuku kesho watafanya nn
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Broo ukitaka kumaliza huu msimu bila ya kupata depression acha kabisa kufikiria kuhusu kombe la Pl, jumanne mko na Chelsea mnafikiri atawaacha salama? Halafu kuna Spurs na Utd zote mnacheza ugenini.
1713646550087.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom