Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya jamani
 
Attachments

  • tntsports-20240315-0001.jpg
    tntsports-20240315-0001.jpg
    95.9 KB · Views: 1
Kile kikosi cha bayern kiliwapiga kumi kilikuwa cha wazee kimeshajichokea wasta wa umri ulikuwa miaka 29 wachezaji wao tegemezi ni babu Robben na babu Ribery. Nime analyse umri wa kikosi chao cha sasa ni miaka 26 Poleni saan hapo mnawakati mgumu sana.

Full time on aggregate Arsenal 3- Bayern 15
Mkuu natoa ahadi hmu jukwaani...Hawa wakitufunga hzo goli nitajitoa rasmi...na nitakukabidhi 100000/= taslimu...fedha za kitanzania
 
Kile kikosi cha bayern kiliwapiga kumi kilikuwa cha wazee kimeshajichokea wasta wa umri ulikuwa miaka 29 wachezaji wao tegemezi ni babu Robben na babu Ribery. Nime analyse umri wa kikosi chao cha sasa ni miaka 26 Poleni saan hapo mnawakati mgumu sana.

Full time on aggregate Arsenal 3- Bayern 15
Unaimba sana taarabu .. ila bayern anakufa 4-1 pale emirates .. subir uone

Ww endelea kuishi jana na historia zako za kinjekitile ngwale
 
🤣🤣🤣 Sio kwa lengo baya bali ni katika kukumbushana tu maana binaadamu tumeumbiwa kusahau, miaka 8 iliyopita Bayern Munich ndie alie wafungisha virago kwenye michuano ya Uefa kwa fedheha ya kuwagonga goli 10.
 
Attachments

  • Tapatalk-Download1402410715Snapinsta.app_video_174481096_3455852364653488_8035923494859349397_n.mp4
    776 KB
game ya arsenal na bayern munich nasubiri kuona bookies odds zitavokuwa japo naona ni kama vile hakuna favourite kumzidi mwenzie hapo.
 
Back
Top Bottom