Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naingia humu nyumbani kusalimia, imekuwa muda mrefu, wakongwe wenzangu akina Wacha1, BAK , Malafyale , Castr na wengine wote wanaoendeleza uzi hapa na wale wapinzani wetu akina masanilo, Belo , Hivi Game Theory, Balatanda hawa watu wako bado humu?
One Love #COYG! #WearetheArsenal.
Mkuu za masiku, tupo tunachungulia tu. timu haina Manager wa maana .... ..... . .. Ding Dong.
 
Dah, sijui unaona nn kwa Ole ambacho watu wengine hatuoni. Mwaka wa 4 huu kwa Ole but Man utd hatuna Identity

Liverpool's press ni kwa sababu ya kocha mkuu, Nadhani wote tunajua identity ya Klopp ni Gegenpressing. Wherever he goes he implements this philosophy regardless of the players' profile.
Kumbuka ata namna Guardiola alivyoi transform Bayern(same players, just few additions).
Mkuu angalia ata Chelsea ya Lampard
na TT, same players but very different performances on the pitch.
As an elite coach you must be able to obtain the best out of your squad.
Mambo ya systems, patterns of play, aggressiveness, positioning, pressing.. they are all down to the coach. Players' profile inachangia kidogo sana.

Naomba unijibu hili swali mkuu, What if Klopp ndo angekuwa kocha wa Man u, Do you think wangekuwa wanacheza hivi wanavocheza sasa just because of the players' profile ???
Hakuna mahali nimesema Solskjaer ni kocha mzuri au mbaya, kwa hilo usinisemee mkuu.

Nilichotaka kucomment ni tatizo halisi la United, disconnection btn 4-2 and 3-1 which creates lack of central compactness when off the ball. Inachangiwa na lack of intensity kwa front four, goli la kwanza jn linaonesha nilichokueleza some player do not complete their roles in that system, Greenwood alienda kupress CBs ila kazi yake ni kumpress Robertson, ikapelekea AWB kupress high up the pitch, kitu ambacho kinabadili picha nzima ya mchezo, Kocha anakuwa ana shida (tactical reasons) if structurally is not good enough

Kwa klopp pia alikuwa na tatizo la kucontrol games pk alivyompata VVD kubalance team, Umuhimu wa players profile na technical level ni individual zaidi na unaweza kuangalia reaction ya Klopp Kwa Naby Keita kupata injury, game ya jana imekuonesha vingi, sasa Task uliyonayo unioneshe tactical defects kivipi Ole anaikwamisha United ili nijifunze
 
Mbona battle ya Arteta na Sosha imekuja baada ya ushindi WA Arsenal vs Aston villa kwamba Arteta ndo kaanza KAZI Ijumaa?Au ni kukosa la kuongea na kuanza kujifariji Kwa battle za ajabu.
Arteta kufananishwa na Ole ni kumkosea heshima.

Arteta ana makombe mawili. Ole ana mangapi?
 
Hakuna mahali nimesema Solskjaer ni kocha mzuri au mbaya, kwa hilo usinisemee mkuu.

Nilichotaka kucomment ni tatizo halisi la United, disconnection btn 4-2 and 3-1 which creates lack of central compactness when off the ball. Inachangiwa na lack of intensity kwa front four, goli la kwanza jn linaonesha nilichokueleza some player do not complete their roles in that system, Greenwood alienda kupress CBs ila kazi yake ni kumpress Robertson, ikapelekea AWB kupress high up the pitch, kitu ambacho kinabadili picha nzima ya mchezo, Kocha anakuwa ana shida (tactical reasons) if structurally is not good enough

Kwa klopp pia alikuwa na tatizo la kucontrol games pk alivyompata VVD kubalance team, Umuhimu wa players profile na technical level ni individual zaidi na unaweza kuangalia reaction ya Klopp Kwa Naby Keita kupata injury, game ya jana imekuonesha vingi, sasa Task uliyonayo unioneshe tactical defects kivipi Ole anaikwamisha United ili nijifunze
Mkuu nimeishia pale uliposema "tatizo halisi la united"
Kwa hiyo tatizo halisi la United linasababishwa na United wenyewe na wala siyo Solskjaer 😂😂😂. Ni sawa na kuizungumzia Jamiiforums halafu usimtaje Maxence Melo!!!
Yani unaamini United ndo wanamwangusha Solskjaer and not viceversa.
Kwenye interview kocha mwenyewe amekubali kuwa responsible for the loss😂😂😂🙌.

Naomba tuishie hapa mkuu wangu
 
Hakuna mahali nimesema Solskjaer ni kocha mzuri au mbaya, kwa hilo usinisemee mkuu.

Nilichotaka kucomment ni tatizo halisi la United, disconnection btn 4-2 and 3-1 which creates lack of central compactness when off the ball. Inachangiwa na lack of intensity kwa front four, goli la kwanza jn linaonesha nilichokueleza some player do not complete their roles in that system, Greenwood alienda kupress CBs ila kazi yake ni kumpress Robertson, ikapelekea AWB kupress high up the pitch, kitu ambacho kinabadili picha nzima ya mchezo, Kocha anakuwa ana shida (tactical reasons) if structurally is not good enough

Kwa klopp pia alikuwa na tatizo la kucontrol games pk alivyompata VVD kubalance team, Umuhimu wa players profile na technical level ni individual zaidi na unaweza kuangalia reaction ya Klopp Kwa Naby Keita kupata injury, game ya jana imekuonesha vingi, sasa Task uliyonayo unioneshe tactical defects kivipi Ole anaikwamisha United ili nijifunze
Mkuu, au wewe ni Gary Neville😂😂😂
(joking)
 
Arteta kufananishwa na Ole ni kumkosea heshima.

Arteta ana makombe mawili. Ole ana mangapi?
Jokes and games aside.
Tactically, Arteta is miles away from Ole.
The only difference is the resources available for each of them.
Nikikumbuka ile mechi mnatupiga 1, Partey anajitawala pale kati kama anavyotaka,, Nadhani ile scoreline haikutoa reflection ya kile kilichotokea uwanjani

From a tactical point of view, probably Ole is the worst manager in Premier league right now. Matokeo yanadanganya sana ukilinganisha na overall performance
 
Mkuu nimeishia pale uliposema "tatizo halisi la united"
Kwa hiyo tatizo halisi la United linasababishwa na United wenyewe na wala siyo Solskjaer . Ni sawa na kuizungumzia Jamiiforums halafu usimtaje Maxence Melo!!!
Yani unaamini United ndo wanamwangusha Solskjaer and not viceversa.
Kwenye interview kocha mwenyewe amekubali kuwa responsible for the loss.

Naomba tuishie hapa mkuu wangu
Nini kinapelekea united's defensive struggles ? maana paka sasa wamefungwa goli 15 & 100+ shots conceded.

Na huko vipindi vya nyuma hii shida haikuwepo, from your tactical point of view nipe maelezo kidogo.
 
Huu uzi unaenda mlengo wa kushoto sasa. Naona tunazama ndani kabisa kwa wapinzani na kuanalyse tactcs and tactical
 
Jokes and games aside.
Tactically, Arteta is miles away from Ole.
The only difference is the resources available for each of them.
Nikikumbuka ile mechi mnatupiga 1, Partey anajitawala pale kati kama anavyotaka,, Nadhani ile scoreline haikutoa reflection ya kile kilichotokea uwanjani

From a tactical point of view, probably Ole is the worst manager in Premier league right now. Matokeo yanadanganya sana ukilinganisha na overall performance
Sijaelewa jana Ole alivyosema "We are too close to give up"

Giving up on what?

Mervin
 
Project over results, mashabiki huwa hatujui hili sababu mpira upo emotional zaidi, tunapenda kuona matokeo bila kuona underground project inayofanyika.

United kwa kocha huyuhuyu km wanapata Stability kwenye midfield wanaweza kucompete kwenye top flight, ngoja tuone January window, sure watasajili a top mid.
 
Back
Top Bottom