Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Notice kwamba Chelsea kacheza na Liva akiwa na red na hajapigwa tano. Instead katoka nao suluhu.

Kwa timu iliyojikamilisha red card moja siyo big deal kabisa. Mfano Chelsea dhidi ya Ajax ilibidi Ajax apate red zaidi ya moja ili Chelsea ashinde.

Arsenal tumefungwa tano na City msimu huu. Tukiwa na red. Na binafsi siwezi kuitumia hiyo kama hoja kwakua kikosi ni dhaifu in advance so ile red ikaja kumaliza kila kitu.

Mifano yangu hailengi kuonyesha hao makocha ni failures ila nilidhamiria kuonyesha kwamba hata wao ingawa wanakula bata kipindi hichi ila wamepitia/ wanapitia msoto katika namna mbalimbali.

At some point katika mechi mashabiki hua hatuamini wachezaji ila tunaamini makocha. Na Klopp, Tuchel na Pep ni makocha ambao shabiki yeyote anawaamini wataleta matokeo hata kama atapanga kikosi hakina mshambuliaji.
Akili imekurudia sasa that's fine
 
Mambo ya positioning, pressing, aggressiveness etc.. ni wajibu wa kocha ku improve wachezaji. Otherwise kusingekuwa na haja ya training sessions . Kama ameshindwa ku manage ego za hao big players, that means he is not fit for the job
Yaan mkuu matatizo yote uliyoyataja ni kwa sababu ya kocha na wala siyo wachezaji.
Nimekutolea mfano wa Lampard, wachezaji kama Rudiger na Kante walionekana hamna kitu, but right now they are indispensable. Chelsea ya Lampard(2019/20) ili concede 50+ goals, look at them now.. they rarely concede.

Angalia Liverpool chini ya Klopp wanavo press. Je ni kwa sababu tu wachezaji wameamua ku press out of nowhere??? NO, It is down to the manager's philosophy. That means mtu asipoweza ku adapt anakuwa axed

Tukubaliane tu mkuu kwamba OGS and Arteta are no where near elite.
At some point huwa naona ata Arteta is far more better than our clueless clown
Arteta is more better?sorry to say this Arsenal has got no coach but Arsenal wana wachezaji ambao wakiamka wapo happy siku hiyo utaona wanacheza vizuri
 
Mbona battle ya Arteta na Sosha imekuja baada ya ushindi WA Arsenal vs Aston villa kwamba Arteta ndo kaanza KAZI Ijumaa?Au ni kukosa la kuongea na kuanza kujifariji Kwa battle za ajabu.
 
"Arsenal is growing, one game a week they will be up there" Pep Guardiola
 
Attachments

  • twitter_20211024_124942.mp4
    7.7 MB
Mambo ya positioning, pressing, aggressiveness etc.. ni wajibu wa kocha ku improve wachezaji. Otherwise kusingekuwa na haja ya training sessions 😂. Kama ameshindwa ku manage ego za hao big players, that means he is not fit for the job
Yaan mkuu matatizo yote uliyoyataja ni kwa sababu ya kocha na wala siyo wachezaji.
Nimekutolea mfano wa Lampard, wachezaji kama Rudiger na Kante walionekana hamna kitu, but right now they are indispensable. Chelsea ya Lampard(2019/20) ili concede 50+ goals, look at them now.. they rarely concede.

Angalia Liverpool chini ya Klopp wanavo press. Je ni kwa sababu tu wachezaji wameamua ku press out of nowhere??? NO, It is down to the manager's philosophy. That means mtu asipoweza ku adapt anakuwa axed

Tukubaliane tu mkuu kwamba OGS and Arteta are no where near elite.
At some point huwa naona ata Arteta is far more better than our clueless clown
Aggression, positioning, pressing ni wajibu wa kocha? kajifunze upya mkuu Maishamagumu😁.

Tukiongelea suala la liverpool press kuwa Compact inachangiwa na Liverpool players' profile,
Pia mnatofautiana hata System, Liverpool 433 shape(two 8s) Attacking wise, while united 4231 shape (two 6s) defensive wise.

Leicester 4-2 united

Brendan Rodgers: "I thought we started well, their [#mufc] central players weren’t pressing so we could be patient and work the ball through the pitch, we got into some really good areas and put pressure on their backline." #mulive [@TyMarshall_MEN]
 
Kosi.
Screenshot_20211024-142418.jpg
 
Dah, sijui unaona nn kwa Ole ambacho watu wengine hatuoni. Mwaka wa 4 huu kwa Ole but Man utd hatuna Identity

Liverpool's press ni kwa sababu ya kocha mkuu, Nadhani wote tunajua identity ya Klopp ni Gegenpressing. Wherever he goes he implements this philosophy regardless of the players' profile.
Kumbuka ata namna Guardiola alivyoi transform Bayern(same players, just few additions).
Mkuu angalia ata Chelsea ya Lampard
na TT, same players but very different performances on the pitch.
As an elite coach you must be able to obtain the best out of your squad.
Mambo ya systems, patterns of play, aggressiveness, positioning, pressing.. they are all down to the coach. Players' profile inachangia kidogo sana.

Naomba unijibu hili swali mkuu, What if Klopp ndo angekuwa kocha wa Man u, Do you think wangekuwa wanacheza hivi wanavocheza sasa just because of the players' profile ???
 
Nakubaliana na wewe.

Ni kweli kocha ndiye anaamua system ya timu.

Mfano Arteta anasema ana lengo la kuja kucheza 4 3 3 ila kwa wachezaji waliopo hilo ni jambo gumu hivyo inabidi ichezwe 4 4 2 au 4 2 3 1.
 
Am not against the progress OGS has attained
My concern is whether Ole has what it takes to take us to the top(winning trophies)??? Jibu ni "BIG NO" Ata ww unajua hivo mkuu
Tactically Ole is empty(no pattern of play, no intensity etc..), individual brilliance za wachezaji ndo zinambeba kila siku. Take Bruno and Ronaldo out of the starting eleven kinabaki kikundi cha wahuni( kumbuka mechi ya westham kwenye Carabao).
Elite managers obtain the best out of their players.... Kikosi kilekile kilichomshinda Lampard, TT amekigeuza kuwa formidable force. What if Chelsea wangeamua kumvumilia Lampard??? Mimi na wew majibu tunayo, tena sahihi kabisaa....
Kwa hiyo suala la kusema Ole anahitaji top CM ntakataa kabisaa. Last season watu walidai shida ni CB na RW, wameletwa lkn cha ajabu tunaconcede kuliko kawaida(clean sheet ni kipengele) na huyo RW kashindwa kumtumia.

Naiangalia Man City ss hivi dhidi ya Brighton, no KDB, no Sterling, no Mahrez= NO PROBLEM
Nina uhakika OGS akipewa hiki kikosi cha Man City hawezi ku replicate hiki anachofanya Guardiola ss ivi.
You make a lot of senses mkuu
 
Dah, sijui unaona nn kwa Ole ambacho watu wengine hatuoni. Mwaka wa 4 huu kwa Ole but Man utd hatuna Identity

Liverpool's press ni kwa sababu ya kocha mkuu, Nadhani wote tunajua identity ya Klopp ni Gegenpressing. Wherever he goes he implements this philosophy regardless of the players' profile.
Kumbuka ata namna Guardiola alivyoi transform Bayern(same players, just few additions).
Mkuu angalia ata Chelsea ya Lampard
na TT, same players but very different performances on the pitch.
As an elite coach you must be able to obtain the best out of your squad.
Mambo ya systems, patterns of play, aggressiveness, positioning, pressing.. they are all down to the coach. Players' profile inachangia kidogo sana.

Naomba unijibu hili swali mkuu, What if Klopp ndo angekuwa kocha wa Man u, Do you think wangekuwa wanacheza hivi wanavocheza sasa just because of the players' profile ???
Unaujua meaning of football my Nigga keep it up
 
Hili janga wanalodeal nalo leo united kuna siku litatuhusu.

Arteta take notes.
 
Back
Top Bottom