Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Castr, Arteta's talent identification is something else

Angalia Ben white ball playing ability

Angalia Ramsdale's distribution na umri wake ni 23, huyu GK alikuwa Shelfield utd sio?

Tomiyasu ni CB kama unavyosema ila muangalie amekuwa inverted full back simple tu.

IMG_20211025_071505.jpg
 
Nilitaka CB awe Holding na Gabriel au Mari na Gabriel.

Arteta na Will Jr wanasema partnership ni White na Gabriel.

White alikuja kwa ajili ya kusaidia attack.

Hilo kalithibitisha.

Anapiga pasi (6 yards) na anaweza kusprint kusogea kati.

Ila ni mapema kusema amenishawishi.

Bado nasema Tomiyasu ile nafasi anafosiwa. Yule ni CB mambo ya Chambers yanajirudia.
Pamoja na kwamba tomiyasu ni CB lkn tangu aje Arsenal kuziba gep la RB amefanya vzr sana. ukiangalia movement zake zinanikumbusha kipindi cha bellelin katika ubora wake au kipindi cha ubora wa bakary sagna. Na kitu kinachomfanya awe vzr kwenye hiyo position ni speed na wepesi, kwa speed aliyonayo Tomiyasu huwezi amini km ni CB japo binafsi sikuwahi kufuatilia kwenye timu aliyotoka pamoja na performance ya position aliyokuwepo
 
Speed aliyonayo Tomiyasu ni ndogo ukimlinganisha na Upamecano (CB) Varane (CB) Militao (CB)

Yaani ni kwamba CB anaweza kua na pace ila atakua hana traits nyingi za fullback. Umemuona Tavares (Natural fullback) jinsi alivyocheza no way CB akifosiwa kua fullback ataperform kiwango cha natural fullback.
 
Ni kweli mkuu ila kumbumbuka adaptation iko kila sehemu so wakati anafanyiwa transformation ya kuwa RB atazoea na atakuwa vzr zaidi kwa kuwa atafurahia kucheza hiyo position.
 
Castr, Arteta's talent identification is something else

Angalia Ben white ball playing ability

Angalia Ramsdale's distribution na umri wake ni 23, huyu GK alikuwa Shelfield utd sio?

Tomiyasu ni CB kama unavyosema ila muangalie amekuwa inverted full back simple tu.

View attachment 1987674
Leno over Ramsdale any day of the week.

Ramsdale ana communication nzuri ila siyo shot stopper.
 
White kaumia.

Sub nani?

Chambers.

Unahitaji RB unamuweka nani?

Chambers.

Cedric?
 
Back
Top Bottom