tujiandae kumla nyumba OTKwisha habari yao
Wetu yuletujiandae kumla nyumba OT
Mkuu labda siku hyo security guard Flano wakupe jezi ucheze ila sio paka zenu zinazokimbiaga hovyohovyo uwanjani....msijipe matumaini kuona Hawa Bournemouth tumepishana nao hivi leo mkajua mtatuweza....mkijaribu kupishana na sisi na Yale matobo mnayoyaachaga nyuma kule...tusilaumiane siku hyo 🤠🤠🤠Bournemouth hio penalty tutakuja kuwalipia mechi inayofata kwenye dimba la Old Trafford, hii dhuluma kwenye mchezo haikubaliki kwa kweli.
Hata kama FA wanaforce mpewe kombe lakini sio kwa mtindo huu, hii ni fedheha kubwa sana kwa Epl.
Wetu yule