Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Project over results, mashabiki huwa hatujui hili sababu mpira upo emotional zaidi, tunapenda kuona matokeo bila kuona underground project inayofanyika.

United kwa kocha huyuhuyu km wanapata Stability kwenye midfield wanaweza kucompete kwenye top flight, ngoja tuone January window, sure watasajili a top mid.
Unamaanisha united haina top mid?🤔

Pogba starting XI France.

Fred starter Brazil. Anamuweka benchi mpaka Casemiro.

De Beek 2019 kabla ya kwenda united alikua ni nominee wa Ballon D'Or.

Unamaanisha nini unaposema top mid?

Assuming hauna top mid na wewe ni kocha mwenye mbinu nzuri what do you do? Utaendelea kutumia formation inayoexpose hiyo weakness au utatafuta formation mbadala?

Talk about tactical inept.
 
Kesho tuna game na Leeds.

Nafikiri kuna watu watapata namba na itakua kazi ni kwao kuprove.

Considering baada ya Leeds tuna Leicester nafikiri kuna wachezaji watapumzishwa now timu yenye vision inatarajiwa kikosi cha kucheza mechi kama ya kesho kireflect kikosi kilichoifunga tatu Villa.

Kesho tutajionea
 
Unamaanisha united haina top mid?

Pogba starting XI France.

Fred starter Brazil. Anamuweka benchi mpaka Casemiro.

De Beek 2019 kabla ya kwenda united alikua ni nominee wa Ballon D'Or.

Unamaanisha nini unaposema top mid?

Assuming hauna top mid na wewe ni kocha mwenye mbinu nzuri what do you do? Utaendelea kutumia formation inayoexpose hiyo weakness au utatafuta formation mbadala?

Talk about tactical inept.
Mazingira ya Pogba france/Juve hayafanani na alivyo united, Tatizo anagive ball away in every ten seconds akipressiwa, kitu kinachomnyima sifa ya kuwa kwenye pivot, angalia goli la 5 jana,

France pogba akicheza pivot anakuwa na press resistant midfielders beside him (Kante & Matuidi 2018 WC) wanampa uhuru wa kucheza to his best , United yupo Matic too slow, lacks intensity, Fred huyu ni Similar profile

Ole alikuwa anaijua shida ya United ila akapuuza sababu ya Ronaldo, kibarua kitaota nyasi.
IMG_20211025_223652_819.JPG
 
Mazingira ya Pogba france/Juve hayafanani na alivyo united, Tatizo anagive ball away in every ten seconds akipressiwa, kitu kinachomnyima sifa ya kuwa kwenye pivot, angalia goli la 5 jana,

France pogba akicheza pivot anakuwa na press resistant midfielders beside him (Kante & Matuidi 2018 WC) wanampa uhuru wa kucheza to his best , United yupo Matic too slow, lacks intensity, Fred huyu ni Similar profile

Ole alikuwa anaijua shida ya United ila akapuuza sababu ya Ronaldo, kibarua kitaota nyasi.View attachment 1986862
Kwa ninavyoona mimi Saul hana pace ni kama Mctominay.

Camavinga ana akili ya kutembea uwanja mzima kama Pogba.

Hivyo kwa maoni yangu hao wawili wasingekua dawa considering una same profiled players.

Tunaassume Donny aliletwa kuaddress ishu ya mid ila hagewi namba. Amemlilia Sancho msimu mzima kaletewa, hampi namba.

Ninadoubt uwezo wa ole kimbinu na kimahitaji.

Anamuuza Lukaku akisema ana strikers wengi. Kisha anamnunua Ighalo. Kabla supu ya Ighalo haijapoa anamleta Cavani (babu) supu ya Cavani ipo mezani anasajili Ronaldo (babu mwingine)
 
Now ushawakosa mid uliowataka means una back up plan ya kuficha weakness ya defense. Makocha wengi huresort kwenye 3 4 3 ili kufanya kati pasipitike. (Hapa nimeassume kwamba ni kweli mid zina matatizo kama wengi wanavyoamini)

Kwa pesa ya saul na ya camavinga hata ingetolewa isingevunja kanuni ya ffp. M pretty sure united haikua na plan ya kumsajili yeyote ni basi tu kwavile ronaldo alitaka kwenda City
 
Mkuu, pengine Will jr ni Gary Neville😂😂
Ni Pro ole kupindukia
 
Project over results, mashabiki huwa hatujui hili sababu mpira upo emotional zaidi, tunapenda kuona matokeo bila kuona underground project inayofanyika.

United kwa kocha huyuhuyu km wanapata Stability kwenye midfield wanaweza kucompete kwenye top flight, ngoja tuone January window, sure watasajili a top mid.
Pengine mm sijui underground project inavyofanyika.
Ila kila nikiiangalia Chelsea ya TT, afu nikamkumbuka na Lampard.
Naona kabisa hii project ya Solskjaer TUMEPIGWA
😂😂😂
 
Now ushawakosa mid uliowataka means una back up plan ya kuficha weakness ya defense. Makocha wengi huresort kwenye 3 4 3 ili kufanya kati pasipitike. (Hapa nimeassume kwamba ni kweli mid zina matatizo kama wengi wanavyoamini)

Kwa pesa ya saul na ya camavinga hata ingetolewa isingevunja kanuni ya ffp. M pretty sure united haikua na plan ya kumsajili yeyote ni basi tu kwavile ronaldo alitaka kwenda City
Unajua shida inakuja kuna baadhi ya system zinawaondoa majina makubwa mfano 343 Bruno anakaa wapi?

Ole angeweza kucheza na Donny, Cavani for Pogba,Ronaldo.. may be ingeleta matokeo ila wakiwa nje(big names) kila game atapona?

433 hiyo ni single pivot inakuwa majanga zaidi kwenye tatizo lake kuu la Central compactness( pivot huAct km third CB timu ikishambuliwa kucreate back 5), wakati kwenye wings una Rashford & Greenwood wagumu kurudi kucreate central overload mpinzani akiwa anaattack final third km ilivyokuwa vs Villareal akaswitch to 4231.

Ole siku zake zinahesabika
 
Hii thread iliharibiwa na vijana kutoka majukwa hasa ya Chelsea na Manchester United! Walishindwa kujadili kupitia majukwaa ya vilabu hivyo mijadala yao ikahamishiwa hapa.

Leo hii imefikia hatua sio thread tena ya Arsenal bali mahali uchambuzi wa matukio hufanyika.
Ukorofi
 
Tusiwalaumu, ni kwa sababu waliona huku ndio tunajadili mambo ya kueleweka.
 
Transfer window yote ilitumiwa na mashabiki wa United kushangaa pesa iliyotumika kumnunua White.

Leo white ana clean sheet nyingi kuliko united.
 
Nilitaka CB awe Holding na Gabriel au Mari na Gabriel.

Arteta na Will Jr wanasema partnership ni White na Gabriel.

White alikuja kwa ajili ya kusaidia attack.

Hilo kalithibitisha.

Anapiga pasi (6 yards) na anaweza kusprint kusogea kati.

Ila ni mapema kusema amenishawishi.

Bado nasema Tomiyasu ile nafasi anafosiwa. Yule ni CB mambo ya Chambers yanajirudia.
 
Tomiyasu ni CB???
 
Arsenal predicted XI vs Leeds: Leno; Cedric, Holding, Mari, Tavares; Elneny, Maitland-Niles; Pepe, Odegaard, Martinelli; Nketiah.

I expect Arteta to be serious with this tournament because it is one of the two that we are able to emerge the final winner
 
Back
Top Bottom