Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pesa ikitupwa kama mashabiki tunavyotaka hata Arteta ataonekana anatosha.

Refer Zidane Madrid
Mkuu naomba umtumie Ole Gunnar kama reference, pesa imetupwa vya kutosha lkn bado huoni mpira wa kueleweka
Tukubaliane pia apart from pesa, ubora wa kocha pia ni muhimu
 
Upo sahihi. Ila kocha hupewa muda.

Ole ana zaidi ya misimu minne akiwa na timu inayoingia sokoni kuspend. At this point hata wanaoonyesha kumchoka wapo sahihi kwa kuzingatia muda aliopo, pesa iliyotumika na timu inavyopafom.

Nafikiri hata Arteta atastahili chansi ya muda kama hizo pesa atawekewa.
 
Japokuwa mm siyo shabiki wa Chelsea, ila ni muumini mzuri wa falsafa yao(Timuatimua).
Nadhani kama kocha ni bora haitaji zaidi ya mwaka ku deliver success.
Mkuu kwa zama za sasa ambapo kuna elite managers ambao wapo vizuri tactically, mambo ya kuwapa makocha muda mrefu hayafai, unless huhitaji kushinda vikombe.
Mfano EPL, elite managers kama Pep, Jurgen na TT wakiendelea kuwepo kwa muda mrefu, unadhani Arteta na OGS wanaweza ku compete nao hata kama watapewa muda na resources???

Haya mambo ya "trust the process" inabidi yaendane na perfomance ya uwanjani aisee, otherwise kina Arteta na Ole wataendelea kujificha kwenye kivuli cha trust the process.
Kila nikiangalia kikosi cha Man U, afu nikalinganisha na perfomance roho inaniuma sana aisee!!
 
Notice kwamba Tuchel katoka kutimuliwa PSG.

Klopp alikua anaizamisha Dortmund zama za mwisho mwisho.

Pep kahangaika na UCL nje ya Barca saa hii anafikiria kazi timu ya taifa.

Klopp ametumia almost misimu mitatu ili kua na Liva ya sasa.

Ole analalamikiwa anachezea formation moja ila Tuchel anatumia formation moja tu na kila anapojaribu kubadilika hua hapati matokeo. 5 za West Brom zilitokana na kujaribu formation nyingine. Klopp anatumia formation moja kwa zaidi ya misimu mitatu.

Tukiingia deep nafikiri makocha uliowataja uzuri walionao ni benchi la ufundi kuliko hata wao wenyewe.
 
Solskjaer kaitoa united kwenye midtable mediocrity, last season kamaliza nafasi ya pili, This season Amekosa reliability kwenye Midfield, one top CM to united inawarudisha kwenye winning ways to challenge EPL & UCL, kwa hiyo unachoandika hapa unanipa mashaka mkuu.
 
Am not against the progress OGS has attained
My concern is whether Ole has what it takes to take us to the top(winning trophies)??? Jibu ni "BIG NO" Ata ww unajua hivo mkuu
Tactically Ole is empty(no pattern of play, no intensity etc..), individual brilliance za wachezaji ndo zinambeba kila siku. Take Bruno and Ronaldo out of the starting eleven kinabaki kikundi cha wahuni( kumbuka mechi ya westham kwenye Carabao).
Elite managers obtain the best out of their players.... Kikosi kilekile kilichomshinda Lampard, TT amekigeuza kuwa formidable force. What if Chelsea wangeamua kumvumilia Lampard??? Mimi na wew majibu tunayo, tena sahihi kabisaa....
Kwa hiyo suala la kusema Ole anahitaji top CM ntakataa kabisaa. Last season watu walidai shida ni CB na RW, wameletwa lkn cha ajabu tunaconcede kuliko kawaida(clean sheet ni kipengele) na huyo RW kashindwa kumtumia.

Naiangalia Man City ss hivi dhidi ya Brighton, no KDB, no Sterling, no Mahrez= NO PROBLEM
Nina uhakika OGS akipewa hiki kikosi cha Man City hawezi ku replicate hiki anachofanya Guardiola ss ivi.
 
Wewe unasema Midfielder ila kocha msimu mzima uliopita alikuwa anataja winga ya kulia na amepewa ila yupo benchi hii imekaaje?.......

hiyo ya midfielder ni excuse tu....kuna aina fulani ya mpira ukicheza hata defensive anakuwa relaxing......sasa kwa kukaribisha maadui muda wote hata aje ndidi na kante tutawakataa kwasababu watakuwa prone to errors muda wote wa mchezo
 
Notice kwamba Tuchel katoka kutimuliwa PSG.

Klopp alikua anaizamisha Dortmund zama za mwisho mwisho.

Pep kahangaika na UCL nje ya Barca saa hii anafikiria kazi timu ya taifa.

Klopp ametumia almost misimu mitatu ili kua na Liva ya sasa.

Ole analalamikiwa anachezea formation moja ila Tuchel anatumia formation moja tu na kila anapojaribu kubadilika hua hapati matokeo. 5 za West Brom zilitokana na kujaribu formation nyingine. Klopp anatumia formation moja kwa zaidi ya misimu mitatu.

Tukiingia deep nafikiri makocha uliowataja uzuri walionao ni benchi la ufundi kuliko hata wao wenyewe.
Mkuu labda pengine huwakubali tu hao makocha, But in reality they are proven winners
Unazungumzia Guardiola kushindwa kuchukua UCL nje Barcelona, Does that make him a failure??? Definitely NO, Kila mahali alikopita kachukua makombe.
Even the legend himself SAF kachukua UCL 2 katika miaka 26 ya ukocha MU.

The same same Klopp ambaye unasema aliizamisha Dortmund mwishoni, ndo huyo aliwaongoza kuchukua Bundesliga ×2. Hawajachukua tena since then.
Ni kweli Klopp amechukua muda kuijenga Liverpool lkn since the beginning we knew something big was going to come based on the performances delivered on the pitch(mpira ulionekana tokea mwanzo mkuu)

PSG ni project ambayo imefeli kwenye UCL regardless of the managers and great players at their disposal.
Makocha wangapi wazuri wamepita pale lkn wameshindwa ku deliver.
Kumlaumu TT ni kumuonea, atleast aliwafikisha fainali.
Sidhani kama kuna mtu ana doubt uwezo wa TT mpaka ss, ukiangalia namna alivyoikuta Chelsea na sasa ilivyo.
Zile 5 za WBA sababu haikuwa formation change, shida ilikuwa redcard ya Thiago Silva.
 
Notice kwamba Chelsea kacheza na Liva akiwa na red na hajapigwa tano. Instead katoka nao suluhu.

Kwa timu iliyojikamilisha red card moja siyo big deal kabisa. Mfano Chelsea dhidi ya Ajax ilibidi Ajax apate red zaidi ya moja ili Chelsea ashinde.

Arsenal tumefungwa tano na City msimu huu. Tukiwa na red. Na binafsi siwezi kuitumia hiyo kama hoja kwakua kikosi ni dhaifu in advance so ile red ikaja kumaliza kila kitu.

Mifano yangu hailengi kuonyesha hao makocha ni failures ila nilidhamiria kuonyesha kwamba hata wao ingawa wanakula bata kipindi hichi ila wamepitia/ wanapitia msoto katika namna mbalimbali.

At some point katika mechi mashabiki hua hatuamini wachezaji ila tunaamini makocha. Na Klopp, Tuchel na Pep ni makocha ambao shabiki yeyote anawaamini wataleta matokeo hata kama atapanga kikosi hakina mshambuliaji.
 
Hiyo paragraph ya mwisho ndo point mzee
Hata wewe nadhani unatamani Arsenal ingekuwa na Guardiola 😂😂😂😂
 
Am not against the progress OGS has attained
My concern is whether Ole has what it takes to take us to the top(winning trophies)??? Jibu ni "BIG NO" Ata ww unajua hivo mkuu
Tactically Ole is empty(no pattern of play, no intensity etc..), individual brilliance za wachezaji ndo zinambeba kila siku. Take Bruno and Ronaldo out of the starting eleven kinabaki kikundi cha wahuni( kumbuka mechi ya westham kwenye Carabao).
Elite managers obtain the best out of their players.... Kikosi kilekile kilichomshinda Lampard, TT amekigeuza kuwa formidable force. What if Chelsea wangeamua kumvumilia Lampard??? Mimi na wew majibu tunayo, tena sahihi kabisaa....
Kwa hiyo suala la kusema Ole anahitaji top CM ntakataa kabisaa. Last season watu walidai shida ni CB na RW, wameletwa lkn cha ajabu tunaconcede kuliko kawaida(clean sheet ni kipengele) na huyo RW kashindwa kumtumia.

Naiangalia Man City ss hivi dhidi ya Brighton, no KDB, no Sterling, no Mahrez= NO PROBLEM
Nina uhakika OGS akipewa hiki kikosi cha Man City hawezi ku replicate hiki anachofanya Guardiola ss ivi.

Am not against the progress OGS has attained
My concern is whether Ole has what it takes to take us to the top(winning trophies)??? Jibu ni "BIG NO" Ata ww unajua hivo mkuu
Tactically Ole is empty(no pattern of play, no intensity etc..), individual brilliance za wachezaji ndo zinambeba kila siku. Take Bruno and Ronaldo out of the starting eleven kinabaki kikundi cha wahuni( kumbuka mechi ya westham kwenye Carabao).
Elite managers obtain the best out of their players.... Kikosi kilekile kilichomshinda Lampard, TT amekigeuza kuwa formidable force. What if Chelsea wangeamua kumvumilia Lampard??? Mimi na wew majibu tunayo, tena sahihi kabisaa....
Kwa hiyo suala la kusema Ole anahitaji top CM ntakataa kabisaa. Last season watu walidai shida ni CB na RW, wameletwa lkn cha ajabu tunaconcede kuliko kawaida(clean sheet ni kipengele) na huyo RW kashindwa kumtumia.

Naiangalia Man City ss hivi dhidi ya Brighton, no KDB, no Sterling, no Mahrez= NO PROBLEM
Nina uhakika OGS akipewa hiki kikosi cha Man City hawezi ku replicate hiki anachofanya Guardiola ss ivi.
Nakubali kuhusu uwezo wa OGS ni kawaida (tactically outmatched) ukifananisha na pep, klopp, Tuchel lakini kama ikitokea wachezaji wakaishi within his system sioni kivipi atashindwa kuchukua ubingwa sababu ana style yake na mzuri kwa transition football,

Chelsea/liverpool/Man city players' profile and techinical level wapo juu ya United, United mnatatizo la Squad imbalance na bigger personality players (pogba) so Even if the system is good enough bt your players do not complete their roles, too lazy. City/liverpool have good technicians, with discipline positionally...moja ya tatizo kwenye midfiel ya united ni impositioning(Fred), lack of intensity(Pogba) & lack of technical security, huwezi kucompare na city with Bernardo & Gundogan or liverpool.

United players do not press high enough, inawanyima intensity, huwezi kushinda game kama wachezaji hawapress hata uwe na messi, mbappe, ronaldo, neymar pamoja

Maneno ya Rodgers after 4-2 win

Brendan Rodgers: "I thought we started well, their [#mufc] central players weren’t pressing so we could be patient and work the ball through the pitch, we got into some really good areas and put pressure on their backline." #mulive [@TyMarshall_MEN]
 
Upgrade tamaa kidogo igikie kwa 340B za Nyukasto. Huyo wa 30B mwache
Shida siyo kua na mmiliki tajiri. Shida ni kua na mmiliki tajiri kichaa.

Yaani haiangalii pesa yeye anachotaka mafanikio. Nafikiri mmiliki wa Arsenal anamzidi utajiri mmiliki wa Chelsea. Lakini si unaona yanayoendelea
 
Nakubali kuhusu uwezo wa OGS ni kawaida (tactically outmatched) ukifananisha na pep, klopp, Tuchel lakini kama ikitokea wachezaji wakaishi within his system sioni kivipi atashindwa kuchukua ubingwa sababu ana style yake na mzuri kwa transition football,

Chelsea/liverpool/Man city players' profile and techinical level wapo juu ya United, United mnatatizo la Squad imbalance na bigger personality players (pogba) so Even if the system is good enough bt your players do not complete their roles, too lazy. City/liverpool have good technicians, with discipline positionally...moja ya tatizo kwenye midfiel ya united ni impositioning(Fred), lack of intensity(Pogba) & lack of technical security, huwezi kucompare na city with Bernardo & Gundogan or liverpool.

United players do not press high enough, inawanyima intensity, huwezi kushinda game kama wachezaji hawapress hata uwe na messi, mbappe, ronaldo, neymar pamoja

Maneno ya Rodgers after 4-2 win

Brendan Rodgers: "I thought we started well, their [#mufc] central players weren’t pressing so we could be patient and work the ball through the pitch, we got into some really good areas and put pressure on their backline." #mulive [@TyMarshall_MEN]
Mambo ya positioning, pressing, aggressiveness etc.. ni wajibu wa kocha ku improve wachezaji. Otherwise kusingekuwa na haja ya training sessions 😂. Kama ameshindwa ku manage ego za hao big players, that means he is not fit for the job
Yaan mkuu matatizo yote uliyoyataja ni kwa sababu ya kocha na wala siyo wachezaji.
Nimekutolea mfano wa Lampard, wachezaji kama Rudiger na Kante walionekana hamna kitu, but right now they are indispensable. Chelsea ya Lampard(2019/20) ili concede 50+ goals, look at them now.. they rarely concede.

Angalia Liverpool chini ya Klopp wanavo press. Je ni kwa sababu tu wachezaji wameamua ku press out of nowhere??? NO, It is down to the manager's philosophy. That means mtu asipoweza ku adapt anakuwa axed

Tukubaliane tu mkuu kwamba OGS and Arteta are no where near elite.
At some point huwa naona ata Arteta is far more better than our clueless clown
 
Back
Top Bottom