Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal imepeleka ofa rasmi kwa Leicester kwaajili ya james Maddison.

Ofa iliyoenda ni 60M. Ingawa mazungumzo yanaenda taratibu ila hata Maddison mwenyewe anataka kuhamia Arsenal.
 
Bid for Maddison tabled which includes a player most likely AMN.
Xhaka on the verge of signing a new contract with Arsenal.
My fellow Gunners what else do we need to hear? Deals being done.
Partey's injury not as serious as initially thought.
 
Kama nyie mlivyo pakuliwa na QPR
Kwahiyo ndo kusema mume pakuliwa sio?
Nyie si huwa munajitapa kua munazifunga Chelsea na Manchester United?, leo kiko wapi?
Musisingizie mechi za maandazi, kupakuliwa ni kupakuliwa tu haijalishi mulipakulieaje.
 
Hii timu hivi bado mnalipa hela za mafungu? Hivi huyu Benn White ambaye mmepigwa kama Pepe ..mmeshakamilisha malipo yake?
Wakati Willian anakuja kwenye hili genge alinukuliwa akidai eti anataka kuisaidia arse8 kubeba makombe hasa uefa hahahaha ...kwa nyongeza tukawapa na luiz sasa tuna wengine pale Darajani ..leteni pesa tuwapige tena.

Pale tuna Barkley, Batshway, Zappacosta, Bakayoko leteni pesa vyuma hivyo ..vitaleta uhai kwenye hili genge..
 
Kila chanzo kimeandika lake.

Kuna kimoja kimesema. Arsenal wamewaambia Leicester wachague mchezaji na kiasi cha pesa kitaamuliwa na mchezaji watakayemchagua.
Maddison akikubali kuja kwenye hiki kitimu uchwara nitamshangaa sana.
 
Maddison akikubali kuja kwenye hiki kitimu uchwara nitamshangaa sana.

Haaland kasema hawezi kuja timu iliyoanzishwa mwaka 2003.

Naona mnamtafuta Lukaku na Inter wamesema vinabo kama nyinyi hiyo milioni 100 hawaitaki na Alonso hawamtaki.

Tuchel kasema anamrudisha Giroud au Hazard
 
Back
Top Bottom