Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haaland kasema hawezi kuja timu iliyoanzishwa mwaka 2003.

Naona mnamtafuta Lukaku na Inter wamesema vinabo kama nyinyi hiyo milioni 100 hawaitaki na Alonso hawamtaki.

Tuchel kasema anamrudisha Giroud au Hazard
Yaan Madison atakuwa chizi kuja hii timu haoni wenzake kina locatelli hawataki kabisa kusikia huo upumbavu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
negotiations over Maddison are 'very slow' and 'like a game of chess', but the midfielder is keen on moving to north London. Leicester bado wanatia ngumu kuuza.
 
Maddison ni mtu na nusu, hata mi namkubali.
Mukiipata saini yake kidogo mutaoneka muko serius
 
Kwani mbona unashindwa kujibu? Kakataa lini?
Kwani hapo kupush deal la kwenda juve sio kuwakataa nyie na timu nyingine??? Offer zimeletwa za timu nyingine tena nzuri kuliko ya juve lkn mchezaji unaona priority yake ni juve....Hilo sio jibu Tosha???? Basi anawataka

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Maddison ni mtu na nusu, hata mi namkubali.
Mukiipata saini yake kidogo mutaoneka muko serius
Maddison hana ukali huo. Mimi binafsi naona Arsenal tunacheza kamari hapa ya kuwaridhisha mashabiki.

Arsenal ina shida na mtengeneza nafasi Maddison ana takwimu gani za kumfanya awe mtengeneza nafasi wa kumlilia? Na bahati mbaya sana mtengeneza nafasi kwa miaka hii wa kiingereza amekua Arnold, beki wa Liva, na Kane mshambuliaji.

Kwangu mimi huyu siyo mchezaji wa kuuzwa milioni 70 ila hapa ndiyo tunarudi palepale tunaposema "Ben White hana thamani ya milioni 50 ila Brighton wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Lukaku hana thamani ya milioni 150 ila inter wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Grealish hana thamani ya milioni 100 ila Villa wanaamini hiyo ndiyo thamani yake"

Arsenal ikipata winger mwenye speed, finnishing na skills hata za level ya Mahrez niamini mimi pengo la Maddison halitoonekana.
 
Kwani hapo kupush deal la kwenda juve sio kuwakataa nyie na timu nyingine??? Offer zimeletwa za timu nyingine tena nzuri kuliko ya juve lkn mchezaji unaona priority yake ni juve....Hilo sio jibu Tosha???? Basi anawataka

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Haya sawa.

Arsenal kapeleka ofa Sasuolo lini? Ilikua ya shilingi ngapi?
 
Maddison hana ukali huo. Mimi binafsi naona Arsenal tunacheza kamari hapa ya kuwaridhisha mashabiki.

Arsenal ina shida na mtengeneza nafasi Maddison ana takwimu gani za kumfanya awe mtengeneza nafasi wa kumlilia? Na bahati mbaya sana mtengeneza nafasi kwa miaka hii wa kiingereza amekua Arnold, beki wa Liva, na Kane mshambuliaji.

Kwangu mimi huyu siyo mchezaji wa kuuzwa milioni 70 ila hapa ndiyo tunarudi palepale tunaposema "Ben White hana thamani ya milioni 50 ila Brighton wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Lukaku hana thamani ya milioni 150 ila inter wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Grealish hana thamani ya milioni 100 ila Villa wanaamini hiyo ndiyo thamani yake"

Arsenal ikipata winger mwenye speed, finnishing na skills hata za level ya Mahrez niamini mimi pengo la Maddison halitoonekana.
Mhhhhhh????????????
 
Castr; Maddison na Ndidi ndio engine za Leicester, nina mashaka kama kweli uliwahi kumfuatilia, ukaona role yake kwenye timu
Baba na hivi canal + bei chee nilikua nafuatilia games hadi ambazo mtu unazidharau. Hizi ndiyo zile unasikia Leicester kafa 3, Wolves kafa 4.

Leicester mpira wa speed na counter. Arsenal ina falsafa tofauti. Pale leicester Maddison akipangua mtu akapeleka long ball unamuona Vardy anakimbizana na mpira kisha chuma.

Arsenal ikipelekwa long ball kinachotokea tunakijua.

Ikatokea Leicester inacheza na timu inayofanya low block hua inakua tabu kidogo.
 
Back
Top Bottom