TupoHivi arsenal Bado Ina mashabiki huku TZ
Loosers mentalityKombe letu ni kuwakojolea chelsea na united

Kwanini usiandike kiswahili?
We unayejua hyo lugha imekusaidia nn ktk MaishaKwanini usiandike kiswahili?
Loosers ni nini?
Mnatia kinyaa. Mpira hamjui. Hoja hamna. Na lugha hamjui.

..... Km unajua mpira si ungeajiriwa walau ukaicoach arsenal shit club
Mkuu hama hiyo timu ndio maana umezeekaTupo
Inanisaidia kuwasiliana.We unayejua hyo lugha imekusaidia nn ktk Maisha..... Km unajua mpira si ungeajiriwa walau ukaicoach arsenal shit club
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hii kauli ndio huwa siipendi kabisa.Kombe letu ni kuwakojolea chelsea na united
Najua bro.Hii kauli ndio huwa siipendi kabisa.
Kuwasiliana my footInanisaidia kuwasiliana.
Sijataka kua kocha.

.....shithole club mentality bwanaNimeanza kushiriki UCL 2006 na ninachukua wewe ambaye umeanza kushiriki mwaka 1890 na bado Hauna hata UCL moja huoni Kuna utofauti Sana mkuu🤣.Haaahaa Dogo Uefa timu yako imeanza kushiriki 2006, nini unachojua we wakuja
Unasupport vipi Cheltako timu wachezaji wake wengi ni Fans Wa Arsenal...kasoro Werner ndio hatumtaki hafai kuwa a gooner.
Andika kiswahili nitakuelewa.Kuwasiliana my foot.....shithole club mentality bwana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ww ulieanza kucheza UCL 1900 una uefa ngapi.?Haaahaa Dogo Uefa timu yako imeanza kushiriki 2006, nini unachojua we wakuja
Unasupport vipi Cheltako timu wachezaji wake wengi ni Fans Wa Arsenal...kasoro Werner ndio hatumtaki hafai kuwa a gooner.
Unauliza maswali ya kiwack kama wanakutoooo...kutoa kwenuHivi arsenal Bado Ina mashabiki huku TZ
Ww ulieanza kucheza UCL 1900 una uefa ngapi.?
Madogo kuweni na respect, acheni mambo ya Kingese humu hatubishani na watoto, mkome.Nimeanza kushiriki UCL 2006 na ninachukua wewe ambaye umeanza kushiriki mwaka 1890 na bado Hauna hata UCL moja huoni Kuna utofauti Sana mkuu.
Ww jamaa una matatizoBinafsi mashabiki wa Chelsea bongo nawaonaga kama washamba waliochelewa kuujua mpira, mnashabikiaje Chelsea timu ya 2005 au mpira mmeanza kushabikia 2010, vinginevyo ni mamluki mliohama timu.
Imechoma kunako eee 😂😂😂Madogo kuweni na respect, acheni mambo ya Kingese humu hatubishani na watoto, mkome.
UmetufungaSasa we Cheltako tumekufunga nje ndani boya wewe
🤣🤣😀, Wewe unazungumzia ukongwe si tunazungumzia kuchukua UCL na siyo ukongwe.Madogo kuweni na respect, acheni mambo ya Kingese humu hatubishani na watoto, mkome.
😂😂😂 Inauma hiyooooooo, fanya utakavojua ila nyie ni matakataka kwetuNyie ni kuwaIgnore tu kina Papaa gx![]()
![]()