juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,595
- 5,020
Kumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,Mimi hua nawaambia Arsenal vibonde vyake viwili tu yaani viruke vinavyoruka mwisho ni kipigo.
Mimi sioni cha kushangilia hapa. Labda nisistize tu kwamba Tuchel anawadanganya mashabiki wa chelsea hana akili hiyo wanayodai anayo.
Mngekuwa mmetawala mchezo,mmecreate chance ndio atleast ungeongea hivyo ila hakuna chochoge mlichofanya tofauti na kupark bus