Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,920
- 75,775
HahahahaFinal Nimepata Uhuru Wa nafsi .... Baada ya miaka 20 ya kuishabikia Gunners sasa rasmi nimekuja huku !!! Araenal ya kina Pires , Ljuinberg , Ray parlour , Thienry henry , Gallas , Silva , Cole , kanu , Seaman , Reyes , Sol Camblie , sio Sawasawa na hii ya kina Saka View attachment 1782341
Kiukweli inaboa timu inapokua haina consistency katika matokeo chanya.
Ila kuacha kushabikia timu ambayo unajiona ni shabiki wake ni ngumu, wengi hua tunajipa likizo. Tukutane msimu ujao