Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi hua nawaambia Arsenal vibonde vyake viwili tu yaani viruke vinavyoruka mwisho ni kipigo.

Mimi sioni cha kushangilia hapa. Labda nisistize tu kwamba Tuchel anawadanganya mashabiki wa chelsea hana akili hiyo wanayodai anayo.
 
Wewe uoni wenzako hawashangilii Huu ushindi kwasababu wanajua wameupata kwa bahati wewe uoni hata aibu mmezidiwa kila kitu
 
Sasa tushangilie nini kama mechi ya kwanza timewapiga 3? Hapa tunasikitika tumetoa dozi ndogo.

Na Kapteni wa timu, Auba, kaiandikia baru bodi ya ligi iwape points tatu za leo. Hatuzitaki haiwezekani vibonde wetu tuwapige kimoja tu.
 
Back
Top Bottom