Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi hua nawaambia Arsenal vibonde vyake viwili tu yaani viruke vinavyoruka mwisho ni kipigo.

Mimi sioni cha kushangilia hapa. Labda nisistize tu kwamba Tuchel anawadanganya mashabiki wa chelsea hana akili hiyo wanayodai anayo.
Kumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,

Mngekuwa mmetawala mchezo,mmecreate chance ndio atleast ungeongea hivyo ila hakuna chochoge mlichofanya tofauti na kupark bus
 
Basi usikasirike.

Auba kawaandikia barua bodi ya ligi wawape nyinyi points 3 za leo. Haiwezekani kibonde chetu tukifunge goli 1 pekee.
 
Msimamo upo hivi
Screenshot_2021-05-13-00-33-51-70.jpg
 
Ningeshangaa sana kama mngefungwa, yani tumewawekea pazia afu mshindwe kufunga hahaha Ningeshangaa sana
 
Kidogo tuwasaidie wenzetu wa London ili hata Europe muione mana sisi wanaume tupo fainali mbili na zote tunachukua sasa nyie RED-CROSS fainal ya Europe iliwashinda inabidi tuwashike mkono.
 
Kumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,

Mngekuwa mmetawala mchezo,mmecreate chance ndio atleast ungeongea hivyo ila hakuna chochoge mlichofanya tofauti na kupark bus
Kwani team inaingia uwanjani kutawala mchezo au kupata matokeo
 
Kumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,

Mngekuwa mmetawala mchezo,mmecreate chance ndio atleast ungeongea hivyo ila hakuna chochoge mlichofanya tofauti na kupark bus
Acha ujinga mpira ni Magoli. Mmeshindwa kufunga. Period
 
Kumfunga leo tuchel isiwe sababu ya kufanya uongee, maana leo kila kitu mmezidiwa sema ni bahat tu ilikuwa upande wenu, kulikiwa hakuna tofauti kati yenu na sheffield united leo,

Mngekuwa mmetawala mchezo,mmecreate chance ndio atleast ungeongea hivyo ila hakuna chochoge mlichofanya tofauti na kupark bus
Naona mlijazana humu mkajua arsenal anamiminiwa mvua ya magoli!!!mmekula cha nguruwe mtulie.league double
 
Back
Top Bottom