Na mi ndivyo ninavyojuaHii backpass hatukupaswa kupewa penati na Kepa kuondolewa uwanjani?
Kuivaa hii jezi inahitaji ujasiri,ngojea tuone kama kuna mabadiliko yoyote labda yanaweza kunitia moyo kwenda kununua jezi.leaked photo away kit View attachment 1783526View attachment 1783527
Na mi ndivyo ninavyojua
System ya freekick bado ipo?Hapana, kama goli lisingeingia, mpira ungerudishwa kwenye mstari nyuma na kuwa free kick kwa arsenal. With a yellow
System ya freekick bado ipo?
Basi bado ipo hiyo systemIn the aftermath of the goal, there was plenty of debate over whether referee Andre Marriner should have disallowed the goal for a deliberate back-pass and whether Kepa could have been sent off for deliberately handling the ball after being passed to by a teammate.
It is understanding that the goal would not have been disallowed as to do so would have punished the team that benefited from the infringement rather than the one that had committed the offence.
Had Smith Rowe not converted the chance, Marriner would have awarded an indirect free-kick to Arsenal on the edge of the six-yard-box.
Timu inahitaji watu 7 wa nafasi tofauti tofauti. 3 major signings za niniKroenkes wanasema watafanya three major signings, ngoja tuone.
Zimewafikisha nafasi ya ngapi vile!?Point Sita tumechukua kwa Chelsea msimu huu
My opinion, Wengine hata wakija average hakuna tatizo mfano mtu kama Ryan Bertrand anafaa kuwa backup ya KT.Timu inahitaji watu 7 wa nafasi tofauti tofauti. 3 major signings za nini
Tuma tena matokeo

Mbona kimya?






Arsenal wenzangu mnajua kwamba dua zetu ilibidi united ashinde?
Game inayofuata dhidi ya Crystal Palace tukishinda, halafu kwa goli nyingi, tunaenda nafasi ya 6.
View attachment 1783879
System ya freekick bado ipo?
Imagine unapiga hizo hesabu halafu hizo timu unazopanga kuzipita zimekupita mchezo mmoja mmoja.Game inayofuata dhidi ya Crystal Palace tukishinda, halafu kwa goli nyingi, tunaenda nafasi ya 6.
View attachment 1783879