Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
Hao ni man u , mbona caretaker wengine walifanya vzr jumla ,Tujiandae kushuhudia Arsenal sasa itashinda mechi zake mfulilizo.
Kocha mpya anapoingia kwenye timu wachezaji wanajitahidi kucheza kwa hari, kujituma na viwango vya juu kumshawishi kocha kubaki 1st eleven na wale wachezaji waliokuwa wanakaa benchi wapewe nafasi ya kuingia kikosi cha kwanza.
Baada ya muda wachezaji wanarejea kwenye viwango vyao halisi. Kuweni makini msije mkatoa boko kama la man u walimwamini care taker.
Kwani Zidane ilikuwaje wakati anatoka timu ya vijanaMfano care taker yupi alifanya vizuri akapewa mkataba wa kudumu akaendelea kuperform vizuri?
OK, ila hata huyu wetu inasemekana bado hana leseni A hivo kwa lesen aliyonayo anafundisha mwisho miez 3Nilimaanisha epl. Nimekupata