Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Kuwa Kocha wa Arsenal kwa ilipofikia sasa inahitaji mtu smart kumzidi mzee Wenger, vinginevyo naona Wengi watatimuliwa hapa .Halafu mashabik wa Arsenal wakawa wanashangilia
Naona washabiki wa Arsenal wanataka mpira mwingi na matokeo pia, anayeweza kwa sasa hivyo vitu ni Ten hag wa ajax pia pep wa city ambao ni vigumu kuwapata.
Kwangu naona Mikel Arteta anaweza kuvaa viatu vya mzee AW coz anaijua philosophy ya Wenger pia kafanya kazi na pep, ngoja tuone kwa Freddie japo sina uhakika 100%, labda kwa Masterclass Pochettino nina imani naye coz anaweza kuja na style tofauti na AW.
Mimi nawataka
1.Poch.
2.Arteta.
3.Ancelloti pia yupo vizuri.

