Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Angalia asije akashindwa kumaliza msimuHatimaye maji yamewamwagikia. Mlimnanga sana Lamps kuwa atafukuzwa kabla ya desemba. Sasa wa kwanza kutimuliwa epl . Pochatinho & Unai
Angalia asije akashindwa kumaliza msimuHatimaye maji yamewamwagikia. Mlimnanga sana Lamps kuwa atafukuzwa kabla ya desemba. Sasa wa kwanza kutimuliwa epl . Pochatinho & Unai
Angalia asije akashindwa kumaliza msimu
Aiseeeeehhhhshukrani bro. Watu wamekaa sabuleni wanaangalia mpira anapita na kanga 1 imelowa maji.
Ole Nasha kabaki naamini Man U lazima washuke darajaEmmery ameondoka, naamini sasa Arsenal lazima wabebe UCL
Oy kikoti kama cha fredie iko kwa vinapatikana pande gani?
Siku zote ukimuombea kifo jirani yako mwisho wasiku unajikuta umetangulia wewe mwenyewe.Hatimaye maji yamewamwagikia. Mlimnanga sana Lamps kuwa atafukuzwa kabla ya desemba. Sasa wa kwanza kutimuliwa epl . Pochatinho & Unai
NitafatiliaOy kikoti kama cha fredie iko kwa vinapatikana pande gani?