Nyuma na kati isipofumuliwa na kuundwa upya Arsenal may remain the same even without Unai
Mawazo yako tu mkuu
Emery Ana udhaifu mkubwa sana kwenye kusuka defence
Akiwa PSG alikuwa na kina Marquinho ,Tiago Silva ,Maxwell
Alishindwa kusuka Defence na hao World class defender
Hivi Unai mnamjua au mnamsikia?
Kweli Ana holding, chamber , Luiz ,sokratis
Kashindwa kujua nani na nani wanaendana apate partnership

Thiago Silva na marquinhos aliwashindwa
Kahesabu penalty za Luiz alizosababisha
akiwa Chelsea kazifanya ndani ya mechi ngapi?
Njoo penalty alizosababisha chini ya Unai
Jana nimeona Garry neville anamtetea Unai kwa hoja dhaifu kuwa Luiz ,sokratis hawafundishiki
Hata koulibaliy anajifunga sana
Unai timu zake zote anakopita ku concede 20 shits per game ni kitu cha kawaida sana kwake.,
Sasa una concede 20 shots per game lazima beki yeyote utamuona hafai,
Ni kweli mabeki wa Arsenal sio wazuri sana ila sio wabovu kama tunavyoaminishwa na wachambuzi uchwara.
Angalia Soyuncu chini ya puel alikuwa uchochoro
Leo kila MTU anamtamani
Brendan rogers kamtengeneza.
Unai lini alitengeneza killer defender?
chini ya holding Arsenal ilikua aiconcede Shots 10+


kwa hili hapana aiseee tactics bora ndizo znazowafanya wachezaji wawe bora
Sio kingine