Yaani una beki wa asili kama Chambers halafu unampanga Maitland ambaye kila wiki anafanya the same mistakes. Unai hamna kocha for sure.Namuitaga. Mr.Iron man si mwingine ni Calum Chambers huyu mwamba namuelewa sana alikuwaga boya sana kipindi cha nyuma ila kadri siku zinavyozidi kusogea basi anazid kuwa mwamba nakumbuka akiwa fulham alipandishwa kutoka central Back kuwa Difensive mido na alichafua vilivyo na kuwa best player wa msimu pale fulham akarejea na Tuzo yake...
Binafsi naona ni wakati wake wa kukichafua pale Emirates dhidi ya frankfurt aliitendea haki namba ya Bellerin kiasi chake kuliko Niles Ni wakati wa Unai kuweka Beki wa 3 watakaporejea Belle na Dogo Tierney halafu kati aweke Luiz kama mtu wa ku clear mipira ya vichwa maana ana iwin sana.
Aweke Chambers chuma kushoto kwake na kulia aweke Sokratis Then full back wazee wa kumwaga maji belle na tierny wanapanda na kushuka .
ila Unai Out leave our TeamView attachment 1213837
Angalia next game na Man kitu atakachopanga.