Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Xhaka anajitoa kwa kipi ikiwa yy ndio chanzo cha errors zote ??

Ozil kacheza vzr dhid ya Watford katolewa , mech na Frankfurt kaachwa kwa kigezo anapumzishwa kwa ajir ya astonvilla

Mech na villa kapigwa mkeka ,

Unai hatufai

Hata Liverpool kufikia hapo , Walianza na kina Rodger ,king ken , Kisha wakapata Klopp , wakajenga timu

Sasa tutajengaje timu kwa KOCHA asiyeeleweka ?

Wachezaji wenyewe inasemekana Hawamuelewi,
Liverpool naweza kupanga kikosi leo kwa mechi inayofuata na nikawa sahihi kwa asilimia 85, timu inajulikana na wanapangwa wachezaji wazuri. Arsenal timu haieleweki.

Leo mara Willock, kesho Lt11 benchi mwaka wa pili huu kikosi chetu hakieleweki siku akipigiwa kelele anapanga kikosi kizuri. Haya majaribio sijui yataisha lini.

Hivi kwa kiwango cha Chambers na Frankfurt kuna aliyetegemea aanze benchi jana? Unampanga Maitland ambaye ni kiungo.

Ozil akose namba mbele ya Willock hivi ni vichekesho vinapatikana kwa Emery tu.
 
Halafu kuna watu wanakwambia UNAI ni kocha , sijui mpira wanauangalia wapi,?

Mimi Jana nilikuwa na mashabiki wa man u nikawaambia Ole mnamlaumu sana lkn mm nataman hata tungekuwa na ole ,

Nikawaambia man u kwasasa inajengwa na haina wachezaji wengi wazuri ,kwahiyo bado Ole anapakujitetea ,

Ole amejitanabaisha anacheza kwa press , lkn hana wachezaji wazuri, na ana Kikosi cha kwanza tayari ,

Nikawaambia Sisi tuna kocha mbovu kuliko ,msimu wa pili huu hawajui wachezaji wake awatumie vipi

Sasa hivi tulitakiwa tuwe nafas ya pili kabisa

Point dhid ya Watford kapoteza kwa tactic zake mbovu na sub mbovu

Mech na totenham pia tumekosa point 3 clear kabisa

Mech ya Liverpool wengi tulitaman sana apange kikosi cha kueleweka Tuone kipimo halisi cha timu YETU , akaja na watoto wa umiseta
 
72nd min: Arsenal losing 2-1 and take off Xhaka

84th min: Arsenal winning 3-2

Coincidence? I think not. Get Xhaka out of Arsenal FC.
 
LUCAS Toreira ni mwepes na anakaba sana tofaut na xhaka.

Xhaka anapocheza DM ndiye uchochoro wa njia ya mashambuliz mabeki ,pia toreira akicheza pembeni(BOX TO BOX MD) yaani kwa mfumo wa 4_3_3 anakuwa anapoteana sana.

Kama unai Emery anataka kuwatumia xhaka na toreira wacheze pamoja kwa mfumo wa 4_3_3 bas DM acheze toreira na pale anapo cheza toreira acheze Ceballos .

DM akicheza toreira kiukwel pale Kat huwa panatulia sana.

Jana goli la pili la Aston Vila xhaka kaanza kumsindikizaa jamaa kwa macho mpaka ndani ya box kitu ambacho alikuwa anauwezo wa kumalizana nae mapema kabla hajaingia eneo la hatar.

#UNAI OUT

72nd min: Arsenal losing 2-1 and take off Xhaka

84th min: Arsenal winning 3-2

Coincidence? I think not. Get Xhaka out of Arsenal FC.
 
Halafu kuna watu wanakwambia UNAI ni kocha , sijui mpira wanauangalia wapi,?

Mimi Jana nilikuwa na mashabiki wa man u nikawaambia Ole mnamlaumu sana lkn mm nataman hata tungekuwa na ole ,

Nikawaambia man u kwasasa inajengwa na haina wachezaji wengi wazuri ,kwahiyo bado Ole anapakujitetea ,

Ole amejitanabaisha anacheza kwa press , lkn hana wachezaji wazuri, na ana Kikosi cha kwanza tayari ,

Nikawaambia Sisi tuna kocha mbovu kuliko ,msimu wa pili huu hawajui wachezaji wake awatumie vipi

Sasa hivi tulitakiwa tuwe nafas ya pili kabisa

Point dhid ya Watford kapoteza kwa tactic zake mbovu na sub mbovu

Mech na totenham pia tumekosa point 3 clear kabisa

Mech ya Liverpool wengi tulitaman sana apange kikosi cha kueleweka Tuone kipimo halisi cha timu YETU , akaja na watoto wa umiseta
Hahaha eti watoto wa UMISETA!
 
Wadau mm nataka unai afukuzwe ila swala la kufungwa linauma bora tuwe tunashinda hivi hivi bila hata game plan ili mrad tu

Ujue Chelsea wanafungwa ila unaona kabisa wana kitu sisi tunashinda ila unaona kabisa hamna game plan n bahat nasibu tu

Next mech OT

Kiungo kikipangwa hivi

Cebalos - LT11-Mateo

Basi tunabeba point 3 mapema kabisa

Ila kwakuwa hatuna kocha sitashangaa nikishuhudia vituko
Aston villa ambao wapo chini kabisa wametusumbua itakuja kuwa man u OT. hiyo mechi hata draw hatupati
 
Ceballos with 100% pass accuracy yesterday

via ⁦@StatsZone⁩ https://t.co/p3gT4w2KX8
IMG_20190923_124919.jpeg
 
Hata mimi ningekua kocha ningemchezesha Xhaka over Ozil why? Xhaka ana spirit na timu kuliko Ozil. Time Mat anaboronga sababu pekee inayomfanya awepo ni spririt na timu.

Ozil na Lacazette, Lacazette katoa assisst nyingi kuliko Ozil. Na Lacszette siyo kiungo. Lets face it kwamba Ozil ni mchezaji mzuri timu ikiwa ina mpira ikiupoteza inakua mtihani kidogo. Hua inasemwa siku Ozil akiwa vizuri hua inakua mara 2 ya kawaida akiwa hovyo hua inakua mara 7 ya kawaida.

Kwa kuliface tatizo la defence ndiyo sababu tulikumbatia sana 3 4 1 2 msimu uliopita. Hapo akajaribu kuficha pengo la Rob na Hector.
Kwa kuliface tatizo la defense Niles anakua forced kucheza RB.

Kocha ni mbinu. Ni kujua leo nakutana na timu hii basi nicheze vipi Wenger hakua na hilo yeye kila sehemu ni kushambulia.

Emery ni bonge la kocha. Kama tuna hamu ya kuitembea barabara ya Man u na Liva basi sawa.
mimi mtu anayemtetea huyu gabachori huwaga simwelewi kwasababu moja tu.......BANIANI AMEONDOA ASILI YA SOKA LETU..........Highbury na Emirates ilikuwa ni kaburi la wagagagigikoko wote,kila mtu akijua anaenda pale wikend alikuwa anajiandaa kuutafuta mpira kwa tochi na hata away tulikuwa tuwachachafya iwe kwa matokeo chanya ,hasi au sare lakini leo hii Aston Villa,Watford wanatusumbua sisi?yaani ladha hakuna zimebaki kero tupu......leo hii GUE amekuwa mwokozi wa timu wakati una wachezaji kibao unawatumia out of position mpaka wanaonekena wabovu na kuwasababishia chuki kwa mashabiki kwa kushindwa kuperform katika nafasi wasizozimudu....hivi huyu Granit angecheza juu nani angemtukana leo hii?nani kamwambia urefu unakaba?ingekuwa hivyo NGOLLO asingecheza mpira,baniani aache ubishi amtumie LT11 DM huyo PEA anayemweka mjini siku akiflop kazi hana............maana mimi nna wasiwasi hata kama hao kina ROB,KT,HECTOR,DINO wapone na aletewe na wa nyongeza bado atapata tabu kupata matokea kwa ujuha wake

kwa moyo mkunjufu nasema hivi BANIANI EMERY OUT
 
72nd min: Arsenal losing 2-1 and take off Xhaka

84th min: Arsenal winning 3-2

Coincidence? I think not. Get Xhaka out of Arsenal FC.
hapana hapo sikubaliani na wewe,wakuondoka hapo ni kocha tu maana huyu xhaka unayemkataa leo akija kocha mwingine akamtumia ipasavyo anashine vizuri sana?shida ya UNAI ya kuamini urefu unakaba ndio inayofanya washabiki wamchukie GX,jamaa anachezeshwa nafasi asiyoimudu na mambo kama haya ndio yalisababisha tukampoteza AOC kwa kumtaka acheze wingback wakati yeye anaamini kabisa kuwa anaperform vizuri akicheza kiungo cha kati.....ukiangalia kwa kina utaona kuwa kuna mahali tunakwama maana wachezaji wengi walioondoka kimtindo huu tuliwatamani warudi.....upuuzi wa BANIANI hauna tofauti ule wa SARRI kumweka KANTE juu na kumshusha mwanawe kipenzi JOGINHO chini..........nakwambia hivi huyu XHAKA akienda pale liverpool tutaomba ardhi ipasuke tutumbukie ndani.....

BANIANI UNAI OUT
 
Wazee naomba ikumbukwe ni sisi ndiyo tulimkataa Wenger tukisema kachoka kaishiwa mbinu.

Unai kaja. Tukashangilia.

Leo hii hata hana muda mkubwa tunayumbishwa na mafanikio ya Man City na Liva. Liva alianza kuiunda hii timu 2015 tukumbuke magumu aliyopitia.

Cuty akaona isiwe kesi akaamua kuingia sokoni kununua mafanikio, same na Chelsea na Man U. These are big spenders than Arsenal.

So we headed to the final with a big spender. We got beat up tunanuna.
Emery kaamini vipaji, huku kuamini vipaji ndiyo kunafanya tusiienjoy timu.

Am saying f... this kama anaenda basi aende but bro is what we deserve.
mimi mtu anayemtetea huyu gabachori huwaga simwelewi kwasababu moja tu.......BANIANI AMEONDOA ASILI YA SOKA LETU..........Highbury na Emirates ilikuwa ni kaburi la wagagagigikoko wote,kila mtu akijua anaenda pale wikend alikuwa anajiandaa kuutafuta mpira kwa tochi na hata away tulikuwa tuwachachafya iwe kwa matokeo chanya ,hasi au sare lakini leo hii Aston Villa,Watford wanatusumbua sisi?yaani ladha hakuna zimebaki kero tupu......leo hii GUE amekuwa mwokozi wa timu wakati una wachezaji kibao unawatumia out of position mpaka wanaonekena wabovu na kuwasababishia chuki kwa mashabiki kwa kushindwa kuperform katika nafasi wasizozimudu....hivi huyu Granit angecheza juu nani angemtukana leo hii?nani kamwambia urefu unakaba?ingekuwa hivyo NGOLLO asingecheza mpira,baniani aache ubishi amtumie LT11 DM huyo PEA anayemweka mjini siku akiflop kazi hana............maana mimi nna wasiwasi hata kama hao kina ROB,KT,HECTOR,DINO wapone na aletewe na wa nyongeza bado atapata tabu kupata matokea kwa ujuha wake

kwa moyo mkunjufu nasema hivi BANIANI EMERY OUT
 
Wazee naomba ikumbukwe ni sisi ndiyo tulimkataa Wenger tukisema kachoka kaishiwa mbinu.

Unai kaja. Tukashangilia.

Leo hii hata hana muda mkubwa tunayumbishwa na mafanikio ya Man City na Liva. Liva alianza kuiunda hii timu 2015 tukumbuke magumu aliyopitia.

Cuty akaona isiwe kesi akaamua kuingia sokoni kununua mafanikio, same na Chelsea na Man U. These are big spenders than Arsenal.

So we headed to the final with a big spender. We got beat up tunanuna.
Emery kaamini vipaji, huku kuamini vipaji ndiyo kunafanya tusiienjoy timu.

Am saying f... this kama anaenda basi aende but bro is what we deserve.
mkuu kwa huyu UNAI hata apewe 1billion pound hana maajabu kumbuka kilichotokea pale PSG kila aina ya mchezaji aliletewa na kipi alichokifanya?

na kaa ukumbuke vizuri zile shangwe za mashabiki kama ulizifuatilia vizuri kisaikolojia washabiki walikuwa wanafurahia kuondoka kwa WENGER na sio kuja kwa UNAI amini hivyo,

kwa furaha iliyokuwepo muda ule hat kama angetangazwa ZAHERA ndio kocha wa timu hakuna ambaye angenuna kwani mioyo yao iliamini kuwa mchawi wa mafanikio ya timu ni ARSENE lakini walisahau kujiongeza kuwa anaondoka AW anakuja nani?

UNAI OUT
 
Nimewahi kusema Unai anaonekana ni mwenye kibri na jeuri.

Arsenal haina wachezaji wabaya katu! Labda mifumo na upangaji wa kikosi.

Xhaka ni Central Midfielder asilia na hilo linathibitika akiwa Suisse na hata nyakati za Borussia Mönchengladbach. Na wakati mwingine amekuwa akicheza hata 10 Role kwa Suisse. Emery anakosa sana kumtumia kama Defensive Midfielder.

Kolašinac ni Winger Back asilia toka Schalke 04 na hata Bosnia & Herzegovina.

Maitland-Niles ni Central Midfielder mwenye uwezo wa kuchezwa kama Winger Back.

Mustafi yes ni Center Back lakini muda akiwa Velencia alitumia muda mwingi kama Right Back na Defensive Midfielder hata akiwa Deutschland alitumika kama Right Back na Joachim Löw.

Hata Calum Chambers ni mzuri na mchezaji mwenye uwezo wa kucheza CB, RB na CDM.

All in all tusubiri majeruhi warudi tuzidi kuona upuuzi wake. Lakini wachezaji nawaamini sana.
Ana kiburi sana huyu fala
 
Hahaha kweli watu wamemchoka.

Aisee hata akienda. Nina imani naye
na uzuri wake watu wanasema haya timu ikiwa haijapata matokeo mabovu.......

mechi tatu zilizopita

AWAY vs WATFORD DRAW
AWAY vs FRANKFURT WIN
AWAY vs ASTON VILLA WIN

maana tungekuwa tunafungwa then ndio tunayasema haya mngetuona sisi sio mashabiki wa kweli.

UNAI OUT
 
138 Reactions
Reply
Back
Top Bottom