Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Namuitaga. Mr.Iron man si mwingine ni Calum Chambers huyu mwamba namuelewa sana alikuwaga boya sana kipindi cha nyuma ila kadri siku zinavyozidi kusogea basi anazid kuwa mwamba nakumbuka akiwa fulham alipandishwa kutoka central Back kuwa Difensive mido na alichafua vilivyo na kuwa best player wa msimu pale fulham akarejea na Tuzo yake...

Binafsi naona ni wakati wake wa kukichafua pale Emirates dhidi ya frankfurt aliitendea haki namba ya Bellerin kiasi chake kuliko Niles Ni wakati wa Unai kuweka Beki wa 3 watakaporejea Belle na Dogo Tierney halafu kati aweke Luiz kama mtu wa ku clear mipira ya vichwa maana ana iwin sana.

Aweke Chambers chuma kushoto kwake na kulia aweke Sokratis Then full back wazee wa kumwaga maji belle na tierny wanapanda na kushuka .

ila Unai Out leave our TeamView attachment 1213837
Yaani una beki wa asili kama Chambers halafu unampanga Maitland ambaye kila wiki anafanya the same mistakes. Unai hamna kocha for sure.

Angalia next game na Man kitu atakachopanga.
 
Hivi Arsenal wanasubiri hadi emery aboronge kabisa ndio atimuliwe au wanacheza kamari mpaka msimu uishe ndio wamtupie virago?

Alegri hana timu ,

Man u wakifukuza kocha brek ya kwanza kwa Alegri.

View attachment 1213838
Aaroon, mbona uyu Alegri mpira wake kama wa mourinho na kama ana vi-DNA kama Emery hivi maana naye alipewa kila kitu alishindwa kufikia malengo ya kubeba UEFA.

alafu ligi aliyokuwepo haikuwa na ushindani sana, ndo maana aliweza kutawala kwa muda mrefu sana.

badoo imani yangu ndogo sana kwake, kutupa mpira kama wa man city na kufikia malengo yetu ata kama akipewa muda mrefu sana.

Tukubali Emery tumepigwa, tunaitaji mtu ambaye ataweza kurudisha mpira nzuri na wenye mafanikio.

Binafsi naona mikel arteta, sababu huyu pale kwa Pep atakuwa product nzuri sana.

Emery out.
 
Once again, Pépé created the most chances, completed the most dribbles and had the most shots of any Arsenal player. Took his penalty confidently too.

We just need to find the right midfield behind him, Auba and a third forward.
 
Mkuu emery sio kocha wa kutufikisha popote , Emery ni kocha wakawaida sana

Emery hata kwa lampard namuona lampard ni kocha mzuri,

Emery mpaka sasa haijulikan Arsenal tunacheza mpira wa aina gani

Timu haikai na mpira hata kwa timu za kawaida

Emery ana u dhaifu mkubwa sana ,Hajui kusika defence hilo ni tatizo lake kote anakopita ,

Emery anabebwa na Zile Europa 3 pale sevilla chin ya mwamvuli wa Monchi.
Mimi hua siyumbishwi na idadi ya vikombe vya kocha kwakua wakati mwingine hua ni inakua mtu yupo at the right place at the right time mfano Zidane.

Kwahiyo hata bila hivyo vikombe Emery ni aina ya kocha anayehitajika Arsenal. Kumlinganisha na Lampard ni kumshusha mno, naamini ingekua Emery anafundisha Chelsea Kante angepata namba daily. Kiukweli Chelsea kwa mchezaji mmoja mmoja iko vizuri mno kuliko Arsenal, lakini wako wapi?

Teesi zilidai Diego Simeon anatua Emirates nikaona fresh mno kwakua timu yetu kukaa muda mrefu na Wenger kuliua spirit ya kupambana yaani kama tukawa na ganzi na kufungwa. Hivyo niliunga mkono ujio wa Diego kwakua jamaa anajua mno kujenga spirit. Sawasawa na Emery, sawasawa na Pochetino.

Tupo na anayestahili kuwepo. Tunachohitaji ni wachezaji zaidi kuliko kocha.
 
Aaroon, mbona uyu Alegri mpira wake kama wa mourinho na kama ana vi-DNA kama Emery hivi maana naye alipewa kila kitu alishindwa kufikia malengo ya kubeba UEFA.

alafu ligi aliyokuwepo haikuwa na ushindani sana, ndo maana aliweza kutawala kwa muda mrefu sana.

badoo imani yangu ndogo sana kwake, kutupa mpira kama wa man city na kufikia malengo yetu ata kama akipewa muda mrefu sana.

Tukubali Emery tumepigwa, tunaitaji mtu ambaye ataweza kurudisha mpira nzuri na wenye mafanikio.

Binafsi naona mikel arteta, sababu huyu pale kwa Pep atakuwa product nzuri sana.

Emery out.
Mkuu Alegri ni bonge la kocha ,

Kitu cha kwanza anajua kusuka defence hivo hutaona magoli ya kipuuzi haya tunayofungwa.

Alegri pamoja na kufanikiwa Seria A , bado kwa UCL alifanikiwa kumbuka kacheza fainals 2 za UCL .Kwahiyo sio wakumbeza

Alegri ni muumini wa soka la kushambulia , anapenda kutumia mifumo hii miwili

4-3-3 & 3-4-3

Emery hadi sasa hana mfumo wowote ,hana tactics zozote , Na ni msimu wa pili ,anazidiwa had na lampard aliyechukua Chelsea juzi tu hapa .

Mpaka sasa anayemuweka mjini emery ni Aubamiyang

Kwahiyo kuhusu Alegri ni chaguo sahihi,

Pia Josh nimeiona sehemu kama wakimtimua emery basi kwenye nafas kubwa kuchukuliwa ni Arteta au Alegri na Mou

KWA kweli kama tutamkosa Alegri basi Tumchukue Arteta , anajua Arsenal tunahitaji NINI ,sio hii butua butua ,timu haikai na mpira ,

Yaani bora liende tu.
 
Mimi hua siyumbishwi na idadi ya vikombe vya kocha kwakua wakati mwingine hua ni inakua mtu yupo at the right place at the right time mfano Zidane.

Kwahiyo hata bila hivyo vikombe Emery ni aina ya kocha anayehitajika Arsenal. Kumlinganisha na Lampard ni kumshusha mno, naamini ingekua Emery anafundisha Chelsea Kante angepata namba daily. Kiukweli Chelsea kwa mchezaji mmoja mmoja iko vizuri mno kuliko Arsenal, lakini wako wapi?

Teesi zilidai Diego Simeon anatua Emirates nikaona fresh mno kwakua timu yetu kukaa muda mrefu na Wenger kuliua spirit ya kupambana yaani kama tukawa na ganzi na kufungwa. Hivyo niliunga mkono ujio wa Diego kwakua jamaa anajua mno kujenga spirit. Sawasawa na Emery, sawasawa na Pochetino.

Tupo na anayestahili kuwepo. Tunachohitaji ni wachezaji zaidi kuliko kocha.
Hizo tetes za Simeon kuja arsenal uliziona wapi? Simeon hajawahi kuhusishwa kuja arsenal kwa Kiasi hicho unachosema

Emery sio kocha wa kutufikisha popote narudia tena

Ni kocha ambaye hawez Ku possess mpira

Ni Kocha muoga hata kwa timu ndogo

Kocha msimu wa pili hana first eleven

Hana falsafa yoyote inayojitambulisha

Haijulikan tuna press au tunacheza NINI

Kila mech anakuja na mifumo mipya ,

Mpaka sasa ameshatumia 4-3-3, 4-2-3-1 , 4-3-1-2 ,4-4-2 ,kila mechi anakuja na jipya ,na wachezaji anawahamisha ovyo ovyo ,

Leo atamchezesha namba 8 kesho 10

Mpaka sasa analazimisha XHAKA acheze DM ,wakati ndio chanzo cha errors zote .

Anamchezesha DI PASCUA box to box MD, wakati ni DM asilia toka akiwa sampdoria

Emery hadi sasa hajui aisuke vipi Back line ,huo ndio u dhaifu mwingine mkubwa

Unaanzaje kumtetea EMERY?

Lampard kuchukua timu juzi tayari ana kikosi cha kwanza ana mfumo unaoeleweka , ana falsafa inayoonekana ,hata Mwenye timu akisema anampa muda Unaona kweli yupo sahihi.

Tayari ameshaanzisha kutokuelewana na baadhi ya wachezaji kama Lacazette ,lt11 & ozil

Hivi anataka kutuaminisha wale watoto kina willock ni bora kuliko Ozil?

Unai ni kocha wa ovyo toka yupo VALENCIA ,
 
Freddie appreciating Aubameyang yesterday. Always loved Freddie. Happy he is here.

IMG_20190923_100706.jpeg
 
Ukitaka ubingwa hata Top Four lazma ujifunze Kuzuia.

Hawa wahuni nyuma wanaibeba sana Liverpool.

Nyie Mnaompa dhamana Huyu muhindi emery maumivu bado hayajaanza .

Team sélection bado inakosewa kila siku mnaanza kusifia sub

angekuwa bora kimbinu watford alishindwa nn ? Kocha msimu wa pili kashindwa kusuka muunganiko wa defence,na midfield ,
IMG-20190923-WA0003.jpeg
 
Hata mimi ningekua kocha ningemchezesha Xhaka over Ozil why? Xhaka ana spirit na timu kuliko Ozil. Time Mat anaboronga sababu pekee inayomfanya awepo ni spririt na timu.

Ozil na Lacazette, Lacazette katoa assisst nyingi kuliko Ozil. Na Lacszette siyo kiungo. Lets face it kwamba Ozil ni mchezaji mzuri timu ikiwa ina mpira ikiupoteza inakua mtihani kidogo. Hua inasemwa siku Ozil akiwa vizuri hua inakua mara 2 ya kawaida akiwa hovyo hua inakua mara 7 ya kawaida.

Kwa kuliface tatizo la defence ndiyo sababu tulikumbatia sana 3 4 1 2 msimu uliopita. Hapo akajaribu kuficha pengo la Rob na Hector.
Kwa kuliface tatizo la defense Niles anakua forced kucheza RB.

Kocha ni mbinu. Ni kujua leo nakutana na timu hii basi nicheze vipi Wenger hakua na hilo yeye kila sehemu ni kushambulia.

Emery ni bonge la kocha. Kama tuna hamu ya kuitembea barabara ya Man u na Liva basi sawa.
Hizo tetes za Simeon kuja arsenal uliziona wapi? Simeon hajawahi kuhusishwa kuja arsenal kwa Kiasi hicho unachosema

Emery sio kocha wa kutufikisha popote narudia tena

Ni kocha ambaye hawez Ku possess mpira

Ni Kocha muoga hata kwa timu ndogo

Kocha msimu wa pili hana first eleven

Hana falsafa yoyote inayojitambulisha

Haijulikan tuna press au tunacheza NINI

Kila mech anakuja na mifumo mipya ,

Mpaka sasa ameshatumia 4-3-3, 4-2-3-1 , 4-3-1-2 ,4-4-2 ,kila mechi anakuja na jipya ,na wachezaji anawahamisha ovyo ovyo ,

Leo atamchezesha namba 8 kesho 10

Mpaka sasa analazimisha XHAKA acheze DM ,wakati ndio chanzo cha errors zote .

Anamchezesha DI PASCUA box to box MD, wakati ni DM asilia toka akiwa sampdoria

Emery hadi sasa hajui aisuke vipi Back line ,huo ndio u dhaifu mwingine mkubwa

Unaanzaje kumtetea EMERY?

Lampard kuchukua timu juzi tayari ana kikosi cha kwanza ana mfumo unaoeleweka , ana falsafa inayoonekana ,hata Mwenye timu akisema anampa muda Unaona kweli yupo sahihi.

Tayari ameshaanzisha kutokuelewana na baadhi ya wachezaji kama Lacazette ,lt11 & ozil

Hivi anataka kutuaminisha wale watoto kina willock ni bora kuliko Ozil?

Unai ni kocha wa ovyo toka yupo VALENCIA ,
 
Arsenal hata aanze nani kule nyuma kama DM anapigwa benchi akiingia anacheza Box to box Lazima watu waendelee kuumia.,na ushindi utakuwa wa kubahatisha

Haiwezekani Wenger alimtumia Xhaka kama DM maana familia ya kreonke ilikuwa haitoi hela maana wanadai walikuwa hawaimiliki klabu kwa 100%,

Hivo Wenger akamtumia Xhaka kama DM kilazima .

Wenger anaondoka anaacha ripoti Ya kutafutwa DM mpya , Klabu inaingia sokon analetwa LUCAS SEBASTIAN DI PASCUA TOREIRA ,

Halafu bado Unai anampiga bench , akiingia anamcheza BOX TO BOX MD ,

Halafu Uniambie UNAI NI KOCHA ,

Ceballos ni fundi akicheza Namba 8 na LW , 10 ni wakawaida hamfikii OZIL ,

Emery anampiga bench OZIL best no.10 , na kumchezesha Ceballos namba 10.

Hapo chini ni Jinsi OSCA TABAREZ Kyle Uruguay anavyomtumia LT11 , huku unai anafanya madudu.

images.jpeg
 
Ukitaka ubingwa hata Top Four lazma ujifunze Kuzuia.

Hawa wahuni nyuma wanaibeba sana Liverpool.

Nyie Mnaompa dhamana Huyu muhindi emery maumivu bado hayajaanza .

Team sélection bado inakosewa kila siku mnaanza kusifia sub

angekuwa bora kimbinu watford alishindwa nn ? Kocha msimu wa pili kashindwa kusuka muunganiko wa defence,na midfield ,View attachment 1214025
Hapo kuna andazi moja lilitoa assisst kwa mtu akafunga.
 
Hata mimi ningekua kocha ningemchezesha Xhaka over Ozil why? Xhaka ana spirit na timu kuliko Ozil. Time Mat anaboronga sababu pekee inayomfanya awepo ni spririt na timu.

Ozil na Lacazette, Lacazette katoa assisst nyingi kuliko Ozil. Na Lacszette siyo kiungo. Lets face it kwamba Ozil ni mchezaji mzuri timu ikiwa ina mpira ikiupoteza inakua mtihani kidogo. Hua inasemwa siku Ozil akiwa vizuri hua inakua mara 2 ya kawaida akiwa hovyo hua inakua mara 7 ya kawaida.

Kwa kuliface tatizo la defence ndiyo sababu tulikumbatia sana 3 4 1 2 msimu uliopita. Hapo akajaribu kuficha pengo la Rob na Hector.
Kwa kuliface tatizo la defense Niles anakua forced kucheza RB.

Kocha ni mbinu. Ni kujua leo nakutana na timu hii basi nicheze vipi Wenger hakua na hilo yeye kila sehemu ni kushambulia.

Emery ni bonge la kocha. Kama tuna hamu ya kuitembea barabara ya Man u na Liva basi sawa.
Mbona unapwaya ,nan kakwambia OZIL wanacheza namba 1 na xhaka? Hivi mnafatilia kweli mpira ?

Ozil ni namba 10 , na haihitaji kukaba ,ikiwa tayari umemuwekea DM , na CM ,

Xhaka anaboronga kama hujui ni kwakuwa anachezeshwa OUT of position , Xhaka ni namba 8 , toka akiwa uswis na monglenbach

Alicheza DM chin ya Wenger baada ya kuwa na uhaba wa DM ,

Mpaka sasa anaongoza kwa errors

UBORA wa unai ni UPI hapo Arsenal ?

Timu haiposses hadi kwa timu ndogo

Timu inaruhisu shots 20+ kila game

Unajua kwa NINI?

Kocha had sasa haijulikan tunacheza Staili gan ya Mpira

Rvp amemwambia atengeneze Falsafa halafu awe na kikosi cha kwanza ,

Msikilize PETIT hapa na yeye akimuelezea huyo UNAI

Doesn’t know his best XI.Doesn’t have players intelligent enough to cope with changing positions and systems.Has failed again to address the problems with his back four.And has not been able to put his mark on his team as Pep Guardiola and Jurgen Klopp have at Manchester City and Liverpool.

Anaendelea kusema ,

Petit said: “I’ve not been impressed with what I’ve seen from Unai Emery in Arsenal ’s opening games of this season.

“I’ve watched every Arsenal match in 2019-20, though they’re definitely better than last year. They’ve done a good job in the transfer market, but they have requirements in defence, which has been the case for years now.

"We saw evidence of that against Liverpool where they were poor and short on
confidence.

MSIKILIZE RVP hapa ,WOTE tunaoangalia mpira kwajicho la tatu haihitaji kupepesa Macho,

Unai si kocha..

Van Persie told BT Sport: ‘It’s difficult to say because if you look at the teams under Wenger, Wenger’s teams always used to play from his philosophy.

‘You can see the same happening now with Jurgen Klopp and the same with Pep Guardiola at Liverpool and Manchester City.
 
Aaron point yangu ilikua kwenye kujitoa kuliko namba zao kufanana.

Nimezungumzia namna anavyodeal na shida ya defence kwa timu yetu.

RVP a nigga that slept on Arsenal's bed for years. Shone one season then gone just when the team needed him. Siwezi msikiliza sana.

Xhaka anajitoa kwa kipi ikiwa yy ndio chanzo cha errors zote ??

Ozil kacheza vzr dhid ya Watford katolewa , mech na Frankfurt kaachwa kwa kigezo anapumzishwa kwa ajir ya astonvilla

Mech na villa kapigwa mkeka ,

Unai hatufai

Hata Liverpool kufikia hapo , Walianza na kina Rodger ,king ken , Kisha wakapata Klopp , wakajenga timu

Sasa tutajengaje timu kwa KOCHA asiyeeleweka ?

Wachezaji wenyewe inasemekana Hawamuelewi,
 
Back
Top Bottom