scrappy
JF-Expert Member
- Apr 8, 2019
- 410
- 494
the second goal ilisababishwa na makosa ya chambers, nauelewe kwamba xhaka aliogopa kuucheza mpira kwasababu alikuwa tayari ana yellow card...huo ndio uhalisia mkuuLUCAS Toreira ni mwepes na anakaba sana tofaut na xhaka.
Xhaka anapocheza DM ndiye uchochoro wa njia ya mashambuliz mabeki ,pia toreira akicheza pembeni(BOX TO BOX MD) yaani kwa mfumo wa 4_3_3 anakuwa anapoteana sana.
Kama unai Emery anataka kuwatumia xhaka na toreira wacheze pamoja kwa mfumo wa 4_3_3 bas DM acheze toreira na pale anapo cheza toreira acheze Ceballos .
DM akicheza toreira kiukwel pale Kat huwa panatulia sana.
Jana goli la pili la Aston Vila xhaka kaanza kumsindikizaa jamaa kwa macho mpaka ndani ya box kitu ambacho alikuwa anauwezo wa kumalizana nae mapema kabla hajaingia eneo la hatar.
#UNAI OUT
72nd min: Arsenal losing 2-1 and take off Xhaka
84th min: Arsenal winning 3-2
Coincidence? I think not. Get Xhaka out of Arsenal FC.