Yaani ambao hawaoni Guendouzi anavyoiendesha gunners sasa hivi wana matatizo sana ukiwemo jamaa yangu Castr
Pole ndugu, your wish hazitokuwa for this season.
Sikatai mkuu, sikatai kabisa bro.
Hoja zangu ni kwamba, maitland anacheza coz bellerin hayupo, kuhusu Luiz na papa, as it stands utampanga nani?? Ngojeni holding arudi mmoja wao atakuwa dropped.
Xhaka hata mimi naona aanze bench kidogo maana lt11 yupo poa na akiingia timu inaamka
Mkuu emery sio kocha wa kutufikisha popote , Emery ni kocha wakawaida sanaMimi sitamani tuwe ile timu inayotaka mafanikio hapo kwa hapo. Emery ni kocha mzuri kwa upande wangu. Guardiola mwenyewe alinyooshwa kabla hajatulia.
Mkuu hamna kocha pale, yule ni muhuni tu kama wahuni wa stand, sijui ilikuaje akaja Arsenal.UNAI akipanga kikosi vzr ,man u tunawalamba asubuhi kabisa ,ila kwa upumbavu wa emery Hiyo mech itakuwa ngumu
Aliletwa na Ivan Gazid , kumbuka Hata Wenger kafelishwa sana na Gazid ,Mkuu hamna kocha pale, yule ni muhuni tu kama wahuni wa stand, sijui ilikuaje akaja Arsenal.
Huyu nido aliyshikilia mkataba wa Unai Emery Toa Goli za huyu jiulze ungekuwa wa ngapi ? Pierre Emerick Aubayemeyang Moja ya wachezaji nyota naojivunia kuwaonaNakumbuka Enrique wakati yupo barca alitangazia dunia wanaenda kupindua matokeo ya PSG coz alishajua kocha ni mbovu hana tactics nzuri,
Angalia Sarri alichomfany Europa, kama Sarri angekua chelsea bado 4-1 zingeendelea hata kwa hao hao watoto.
Eti apambane na klopp,guardiolla pochetino kwa uwezo gani alionao??
Hahaahaha! Unai emery.
Anasomeka kirahis sana , Eti anakomaa DM na xhaka ,dah kocha huyu kilaza sanaNakumbuka Enrique wakati yupo barca alitangazia dunia wanaenda kupindua matokeo ya PSG coz alishajua kocha ni mbovu hana tactics nzuri,
Angalia Sarri alichomfany Europa, kama Sarri angekua chelsea bado 4-1 zingeendelea hata kwa hao hao watoto.
Eti apambane na klopp,guardiolla pochetino kwa uwezo gani alionao??
Hahaahaha! Unai emery.