JW1984
Senior Member
- May 8, 2016
- 124
- 82
Wakuu game yetu ya leo imeahirishwa sababu gani?
Leicester anacheza game ya FA CUP weekend hii
Wakuu game yetu ya leo imeahirishwa sababu gani?
Ok... Shukraan mkuuLeicester anacheza game ya FA CUP weekend hii
Ok... Shukraan mkuu
UEFA hairuhusu timu yenye owner mmoja kucheza mashidhano yake!! Sasa inakuwaje RB leipzig na RB Salzburg zimeruhusiwa kushiriki UEFA kwa pamoja???
Ujerumani kuna kitu kinaitwa 50+1 ownership rule, ambapo mashabiki wanakua na nguvu zaidi kuhusu timu kuliko commercial investors,UEFA hairuhusu timu yenye owner mmoja kucheza mashidhano yake!! Sasa inakuwaje RB leipzig na RB Salzburg zimeruhusiwa kushiriki UEFA kwa pamoja???
NB zote zinamilikiwa na Red Bull
Embu wataalam mtujuze
Duh uko deep.... Nashukuru kwa maelezo yako murua mkuuUjerumani kuna kitu kinaitwa 50+1 ownership rule, ambapo mashabiki wanakua na nguvu zaidi kuhusu timu kuliko commercial investors,
Walichokifanya Redbulls kwenye timu ya Leipzig ni kubadilisha majority share holders na kwamba mashabiki wao ndio wenye timu then Redbulls ni second owner (kwa upande wa arsenal ni kama vile kroenke na Usmanov, kroenke ndio kama mashabiki alafu Usmanov ndio kama Redbulls) kitu ambacho uefa walikikubali.
Poa mkuuDuh uko deep.... Nashukuru kwa maelezo yako murua mkuu
Namuona mnyama petit na ljunjberg asee arsenal ilikua on firee sio hawa watoto kina maitland-niles na iwobi
Wewe ROBERTO 20 ulianza na mbwembwe lakini Sasa umeingia Mitini!!!
Najua utakuja Na Kisingizio cha Kuwa Majukumu Yamekukaba utazani Hapo Mwanzo Ulikuwa Hufanyi Nazi!