Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakukua na umuhimu wa kumchezesha Ramsey out of position leo wakati tuna gervinho na Ox.

Poa tu. Tuangalie mbele. Sasa.
 
Vaminetor leo ametuvaminet sisi wenyewe! Both goals zimetoka kwake

Yeah. Lakini goli la 2 pale alitakiwa awepo Gibbs. Dogo anajiona winga, muda wote yuko mbele. Na hivi Ramsey yuko upande huo, anaharibu watu wanapanda tunakua exposed. Angekuwepo Gervinho/Ox upande ule tungeongea mengine.

Ramsey anaboa, sijaona alichofanya leo. Song nae anakua kama kakatazwa kupiga mashuti. Kuna nafasi anapata pale kati peke yake anaacha kupiga golini ambapo angeweza hata kumbabatiza mtu yeye anawaza assist tu!

Well, its football anyway and I hope we will bounce back. Keep the faith
 
Adel-Taarabt-Queens-Park-Rangers-Premier-Leag_2742367.jpg
 
leo wamepoteza point 3 muhimu sana ambazo watazijutia mno huko mbele ya safari.
 
....together we stand.....

Kinacho matter ni tutavyo bounce back,
IMO, Ramsey kama Chamakh waendelee kubaki Reserve mpaka mwisho
wa msimu....hasa Ramsey, anatuharibia tempo...

QPR was a game to win, sio ku lose au draw lakini ndio hivyo tena,
labda Gaffer alidhani anaweza jaribu experiments hapo...imetu cost!!!

Anyway....daima mbele..
 
Mnipigie Man Shitty next match na naahidi kuhamia chama lenu moja kwa moja:wink2:
 
Mnipigie Man Shitty next match na naahidi kuhamia chama lenu moja kwa moja:wink2:

kutokana na muonekano ulivyo na mazoea aseno ka fungwa kwa hiyo na sie tutamfunga ila kwa taabu sana..
 
Back
Top Bottom