Ila Wenger anampenda Ramsey hakuna aisee duh. Mpaka anamchezesha kwenye wing ya kushoto!! I hope ata'deliver
Anaharibu sana, anafanya upande wa Gibs uwe uchochoro!Ila Wenger anampenda Ramsey hakuna aisee duh. Mpaka anamchezesha kwenye wing ya kushoto!! I hope ata'deliver
Hao achana nao mkuu...tuconcentrate hapa kwetu! Naona upande wote wa kushoto kumepwaya ile mbaya!Man city kashafungwa nae
Hao achana nao mkuu...tuconcentrate hapa kwetu! Naona upande wote wa kushoto kumepwaya ile mbaya!
Anaharibu sana, anafanya upande wa Gibs uwe uchochoro!