Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahsanteni sana. The so called one man team has the highest number of different scorers (17) next is United and Everton (16). Let em keep hating..we fly high!

Ah Mwafrika, kumbe we ni wa huku...hongereni bana...Arsenal is one inspiring team na mafans wake ndo kabisa usiseme...kama mke wa bwana mlevi, mzinzi na mchumi ambaye anatarajia atabadilika one day!kudos...
#cfc fan
 
Alexander Song kaahidiwa pay rise from £55000-£75000 per week,mwaionaje hii snipers wenzangu?
 
Alexander Song kaahidiwa pay rise from £55000-£75000 per week,mwaionaje hii snipers wenzangu?

Kulingana na wachezaji wengine wanavyolipwa na mchango wake katika timu, nadhani £75K ni kidogo. But again this is Arsenal usitegemee mishahara ya £100k!!!
 
Kulingana na wachezaji wengine wanavyolipwa na mchango wake katika timu, nadhani £75K ni kidogo. But again this is Arsenal usitegemee mishahara ya £100k!!!

Na hapo ndio timu zingine zikiona zinamuongezea dau, dogo anaenda kula maisha.
 
Na hapo ndio timu zingine zikiona zinamuongezea dau, dogo anaenda kula maisha.

mafisadi wa mafuta hawakawii kupandisha dau .. ila song gooners ni boyhood club yake sidhani kama atakubali kuondoka kabla ya kutugaia kikombe ...
 
Ah Mwafrika, kumbe we ni wa huku...hongereni bana...Arsenal is one inspiring team na mafans wake ndo kabisa usiseme...kama mke wa bwana mlevi, mzinzi na mchumi ambaye anatarajia atabadilika one day!kudos...
#cfc fan

Lol. Ahsante sana mkuu. I'm a die hard fan
 
Kulingana na wachezaji wengine wanavyolipwa na mchango wake katika timu, nadhani £75K ni kidogo. But again this is Arsenal usitegemee mishahara ya £100k!!!

Things might change. Kwa sasa £100k ndiyo limit ya mshahara lakini habari zinasema hiyo limit itaongezwa wakati wa majira ya joto ili kuweza kumbakiza RvP na vilevile ku'attract wachezaji wazuri Europe.
 
Very interesting

naona ni post yako ya kwanza alafu umeishusha jukwaa letu tukufu..!! karibu katika thread ya timu ambayo "Class is permanent " timu inayocheza sexy footy only barca can match !!
 
naona ni post yako ya kwanza alafu umeishusha jukwaa letu tukufu..!! karibu katika thread ya timu ambayo "Class is permanent " timu inayocheza sexy footy only barca can match !!
Labda Barca ya Tandika
 
Salam wakuu, kama Mwafrikahalisi alivyosema leo point tatu muhimu.

List imetoka:

Szczesny, sagna,gibbs,Varmelen,Koscienly, song,arteta,rosicky,ramsey,walcott,rvp.

Huyu Ramsey ana bahati sana. Ya kupendwa na Wenger. Mie naona bora aanze Ox au. Gervinho badala yake kwani pale kati song ,arteta na rosicky wanatosha. Vizuri tungekua na winger kama Ox au Gervinho. Anyway Wenger knows.

Tuko pamoja wakuu kila la kheri.
 
heshima kwenu wote . leo tunategemea point tatu muhimu hapa.
mbona simwoni balantanda leo hapa ?
 
captain wa qpr joe barton alikuwa anapiga domo sana kwamba Leo gooners watakoma..
 
Ila Wenger anampenda Ramsey hakuna aisee duh. Mpaka anamchezesha kwenye wing ya kushoto!! I hope ata'deliver
 
Back
Top Bottom