Kafunga free kick.............. Artetaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuna mwenye kumbukumbu ya Arteta kufunga goli la Free Kick tamgu kaja Arsenal?????
Na alikuwa anayafunga funga magoli ya free kick akiwa everton ila kwa asernal sikumbuki
gooners msijali its a matter of time .. nafasi ya tatu yetu, chelsick atapigania 4th na liver au spurs hii ni FACT labda table mwisho wa msimu waigeuze juu chini ndio watakuwa above gooners ... tuangalie mbele ..
Dream on mate! Ilikuwa mechi ya wachezaji 12 (pamoja refa) dhidi ya 10, lakini bado mmeshindwa kufanya lolote la maana, halafu unafikiri mnamaliza wa 3, kila mwaka tumesikia sentensi kama hizi hapa kwenye kajukwaa kenu, hahahaha!! Delusion!
Jamaa siku hizi hathubutu tena kuja huku!!!28th December 2011 kipindi kile tunacheza ovyo sana niliandika hii comment !!
jamaa akanijibu hivi ...
hahahahaha :lock1:!!!!!!! nitamtafuta mwisho wa msimu! huyu!!
Always ! Arsenal fan & Proud!!
VIPER!