Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Kwa kweli kiwango ch Arteta na Uncle Tom Rosicky kinapanda kila siku.......Ukichanganya na Song na Wilshere tutakuwa na kiungo cha nguvu kweli......
Hakika hawa jamaa(Arteta na Rosicky) wameziba mapengo ya Cesc na Nasri.....
Naona tumemzidi bwana Peasant point 8.......Teh teh...
Arsenaal: Together We Stand
Haonekani aisee.....Hivi YUPO????
Hivi YUPO????
Kwa kweli kiwango ch Arteta na Uncle Tom Rosicky kinapanda kila siku.......Ukichanganya na Song na Wilshere tutakuwa na kiungo cha nguvu kweli......
Hakika hawa jamaa(Arteta na Rosicky) wameziba mapengo ya Cesc na Nasri.....
Naona tumemzidi bwana Peasant point 8.......Teh teh...
Arsenaal: Together We Stand
Hongereni wakuu naona mnachanja mbuga.
Waliotaka AW afukuzwe kazi mbona wako kimya?! Ongeeni basi!
mkuu trust me zile kelele ndio zinamfanya huyu mzee kutia akili... kama supporters wakibaki na in wenger we trust timu ingekuwa inafanya madudu.. babu anahitaji changamoto...
zile sub za kipumbavu sikuhizi yupo makini mfano kuwachezesha kina chamarck game muhimu ... na pia kelele Baada ya game na manure zimesaidia arshvin hayupo sasa... the ox anapata game za kutosha ... wachezaji waliokuwa wanaelekea kuwa flops kina rosisky wame improve kwa kasi ya ajabu... usajili ataanza mapema ... na pia atanunua experienced players kidogo..
kelele za sack wenger ndio zimeleta matunda yote.. haya..
Wenger said: "I would like to give credit to the pass from Song, because it is not the first time he has done that.
"You do not see many defensive midfielders [do that].
If you look at the assists that he has made this season, you will see that his numbers are top in Europe."
Source Football365
Hongereni wakuu naona mnachanja mbuga.
hongera zenu..
Bravisimo the so called one man team by the hypocrites.