Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

141803673.jpg


141803841.jpg


141803842.jpg


141803797.jpg


1st Goal by Kieran Gibbs
 
sijui ni mimi tu... ila game za arsenal ni tamu kuziangalia... zile draft wanazopiga zinanipa midadi...
 
Sijaelewa Mtazamaji... unaweza elezea kdg hapo???

hiyo sentensi nenda nje ya scope ya kabu ya arsenal . kwa wachezaji wakali wa PL Song yumo ten juu lakini media hazimfagilii sana kwa sana . labda sababu ya uraia wake. angekuwa song huyo black ni raia wa UK au europe mhhhh
 
Hope 2taongeza mabao ili gap kati ya mshindi na mshindwa iwe kubwa manake hawa madogo wa AV nao si wa kuwaamini kivile!
 
aksante sana balantanda Kwa picha za kumbukumbu la game.sijui Wacha kapotelea wapi siku hizi
 
Kuna mwenye kumbukumbu ya Arteta kufunga goli la Free Kick tamgu kaja Arsenal?????
 
Gervinho nae bana... Pasi ya nini pale????? yeye akifunga halihesabiki???
 
Kuna mwenye kumbukumbu ya Arteta kufunga goli la Free Kick tamgu kaja Arsenal?????
Bado.....Ila..

''Arteta scored his first Premier League goal for Arsenal in a 4–3 loss against Blackburn Rovers at Ewood Park. He scored his second goal for the club in a 3–0 home win against West Bromwich Albion as he begins to comfortably settle into his playmaking role at his new club.He also scored against Wigan Athletic with a 25 yard strike. Arteta was able to have his first chance to captain the Gunners in the third round FA Cup victory over Leeds United, mostly notably remembered by the second debut of Thierry Henry. His fourth Premier League goal of the season came on 4 February as Arsenal beat Blackburn 7-1 at the Emirates, scoring from the edge of the area as a clearance from a corner reached him''
 
Back
Top Bottom