Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii team sometym inafanya mambo ya KISENGEnyaji sana.... this was a must win Game...... Tumembebwa na Kadi nyekundu ila bado tu.... Finishing ni zaidi ya POOR.... Kwa mwendo huu hata hy 4th spot tusahau......
 
Na si utani, mmebebwa sana leo. Song alitakiwa kupewa nyekundu kwa kupiga wachezaji wawili mateke, na hiyo nyekundu ya Wolves ni yellow card.
 
Steven-Fletcher-goal-Arsenal-vs-Wolves_2695513.jpg

Steven-Fletcher-celebration-Arsenal-vs-Wolves_2695514.jpg
 
Hii team sometym inafanya mambo ya KISENGEnyaji sana.... this was a must win Game...... Tumembebwa na Kadi nyekundu ila bado tu.... Finishing ni zaidi ya POOR.... Kwa mwendo huu hata hy 4th spot tusahau......

Nenad-Milijas-red-card-Arsenal-vs-Wolves_2695538.jpg

Mbeleko nayo haikufua dafu
 
Poleni sana..by kesho Arsenal itakuwa juu yenu.

Chelski, tunawashukuru rasmi kwa kuwaachia the gunners kuwa juu yenu kesho, kwenye nafasi ya nne!

Cheers Blues! You guys are very kind, thanks again!

Egg on your faces!! hahahahahahahahahaha!!!!!!! You can't beat a 1-man Wolves side!! Mmebebwa lakini hambebeki, losers!
 
That RED was too HARSH.......I dont AGREE..... Faida kwetu ila jamaa ndo watafunga duka sasa....

Bora wee mkweli lazima tukubali jamani marefa wa England ni wabovu na si kila mara tudhani ni hujuma, jana watu wamepiga kelele sana kwamba Man Utd wanabebwa sasa sijui leo Wacha atatwambia nini?.
 
Hii team sometym inafanya mambo ya KISENGEnyaji sana.... this was a must win Game...... Tumembebwa na Kadi nyekundu ila bado tu.... Finishing ni zaidi ya POOR.... Kwa mwendo huu hata hy 4th spot tusahau......

Hongereni watani, mmejitahidi sana leo. Mkiongeza bidii mtashinda mechi ijayo!
 
Malaria hiyo, hahahaha!!
Mmebebwa lakini hambebeki.

Hahahahahah lol!....Jana ulikuwa mgonjwa hapa mara baada ya mpira kwisha ukapanda kitandani haraka sana tena sauti hata ilikuwa haitoki 🙂🙂🙂 leo umechangamka utadhani umechaguliwa kuwa Rais wa dunia lol! Kusema kweli inatia donge sana kutoa draw katika mechi ambayo tulistahili kushinda for at least 3-0, mechi kama hizi ndio za kujipatia points za kirahsi lakini leo tumezembea labda Chelsick mmetuambukiza Malaria lol!
 
Ni kweli hii ilikuwa mechi ya kushinda kirahisi ukizingatia mazingira ya mchezo: MMEBEBWA SANA, lakini wapi. Hovyo kabisa, mnashindwaje kushinda dhidi ya Wolves iliyo na wachezaji 10 tu?! Refa wenu leo kagoma kumpa Song red card, akajampa mchezaji wa Wolves red card ya ajabu kabisa! Wachezaji wenu wote walikuwa wanadive tu na refa anawapa foul. Lakini pamoja na yote hayo mmeshindwa kushinda! Hongereni lakini kwa "kupanda juu ya Chelsea" kwenye msimamo wa ligi....hahahahahahahaha!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Taarifa taarifa taarifa:

Kuna kijana mwenzetu anaitwa WACHA kapelekwa Hospital na sasa yupo ICU baada ya kuanguka wakati anaangalia Mechi iliyokwisha hivi punde. Kama we ni jamaaa wa karibu si vibaya ukimpitishia chochote ikipata muda wa kwenda hospital
 
Wapande wapi hao, mwaka huu wajitahidi tu kumaliza angalau kwenye top 10

[TABLE="class: tablehead"]
[TR="class: colhead"]
[TD] [/TD]
[TD]P [/TD]
[TD]W [/TD]
[TD]D [/TD]
[TD]L [/TD]
[TD]GD [/TD]
[TD]PTS [/TD]
[/TR]
[TR="class: oddrow"]
[TD="align: left"]Man City[/TD]
[TD="align: right"]18[/TD]
[TD="align: right"]14[/TD]
[TD="align: right"]3[/TD]
[TD="align: right"]1[/TD]
[TD="align: right"]38[/TD]
[TD="align: right"]45[/TD]
[/TR]
[TR="class: evenrow"]
[TD="align: left"]Man Utd[/TD]
[TD="align: right"]18[/TD]
[TD="align: right"]14[/TD]
[TD="align: right"]3[/TD]
[TD="align: right"]1[/TD]
[TD="align: right"]33[/TD]
[TD="align: right"]45[/TD]
[/TR]
[TR="class: oddrow"]
[TD="align: left"]Tottenham[/TD]
[TD="align: right"]16[/TD]
[TD="align: right"]11[/TD]
[TD="align: right"]2[/TD]
[TD="align: right"]3[/TD]
[TD="align: right"]13[/TD]
[TD="align: right"]35[/TD]
[/TR]
[TR="class: evenrow"]
[TD="align: left"]Chelsea[/TD]
[TD="align: right"]18[/TD]
[TD="align: right"]10[/TD]
[TD="align: right"]4[/TD]
[TD="align: right"]4[/TD]
[TD="align: right"]15[/TD]
[TD="align: right"]34[/TD]
[/TR]
[TR="class: oddrow"]
[TD="align: left"]Arsenal[/TD]
[TD="align: right"]18[/TD]
[TD="align: right"]10[/TD]
[TD="align: right"]3[/TD]
[TD="align: right"]5[/TD]
[TD="align: right"]8[/TD]
[TD="align: right"]33[/TD]
[/TR]
[TR="class: evenrow"]
[TD="align: left"]Liverpool[/TD]
[TD="align: right"]18[/TD]
[TD="align: right"]8[/TD]
[TD="align: right"]7[/TD]
[TD="align: right"]3[/TD]
[TD="align: right"]7[/TD]
[TD="align: right"]31[/TD]
[/TR]
[TR="class: oddrow"]
[TD="align: left"]Newcastle[/TD]
[TD="align: right"]18[/TD]
[TD="align: right"]8[/TD]
[TD="align: right"]6[/TD]
[TD="align: right"]4[/TD]
[TD="align: right"]3[/TD]
[TD="align: right"]30[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
gooners msijali its a matter of time .. nafasi ya tatu yetu, chelsick atapigania 4th na liver au spurs hii ni FACT labda table mwisho wa msimu waigeuze juu chini ndio watakuwa above gooners ... tuangalie mbele ..
 
Taarifa taarifa taarifa:

Kuna kijana mwenzetu anaitwa WACHA kapelekwa Hospital na sasa yupo ICU baada ya kuanguka wakati anaangalia Mechi iliyokwisha hivi punde. Kama we ni jamaaa wa karibu si vibaya ukimpitishia chochote ikipata muda wa kwenda hospital

Hahahaha! kijana wangu mfarisayo, naona una utani na kaka angu Wacha boy aka wacha 1 aka wacha.....! yy yu bukher wa fya, anashangaa tu kwann kichaa chao kile cha feb, march na may kimewai kuanza ths tym around.
 
Arsenal's guns clearly jammed today,they shot blanks despite the ref trying to give them the upperhand on the pitch.Now they are swimming against the current...Poor!!Poor!!Gunners...
 
Back
Top Bottom