Leo tafuna huyo Aston Villa.
Safi sana Chelsea na Spurs wametoa draw.
List la leo:
Szeczny, sagna,gibbs, koscienly, Varmelen,rosicky,arteta,song,gervinho,walcott, rvp.
Kila la kheri wakuu , mechi itakua ngumu lakini. Kwa kujituma kwetu tutapita. I hope Gervinho hato fanya game yetu hiwe slow.
Pamoja.
yeh mkuu tunahitaji ushindi tukae kwa raha 3rd
Much better kaanza kuliko Ramsey... ila I would prefer OX infront of all Those.....
Naona Koscienly aliumia wakati wa warm up ndio maana Djourou kaanza.
Kabla tu ya mechi wakati wa ku-warm up. Alikuwepo kwenye list wakafanya. Mabadiliko.Saa ngapi?????