Everton 0-1 Arsenal
Dakika ya 17
Na hili ndilo tatizo la AW......Huwa hana ari ya ushindi kabisa.....Huyu Ramsey anatugharimu sana leo na Everton wameshaanza kutushambulia....hawa Everton washagain momentum.... Ramsey kakosa nafasi za wazi kabisa..... tungekua na ushindi mnono so far.... What the hell is OX doing on the Bench?????
Haikuwa offside ileMoyes isnt happy at all with that Offside decision.......
Huyu Pienaar ni wa kumuangalia sana....