Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
tumekufa kishujaa ktk uwanja wa vita, katupiga kwao tumempia kwetu kwa ibu,ingekua poa sana kama tungepata japo goli 1 kule san siro,poa tumetoka kishujaa
Kutolewa ni kutolewa tu kaka....Hakuna kutolewa kishujaa hata siku moja....hongereni kwa ushindi na poleni kwa kutolewa "kishujaa"
Halafu uncle Tom Rosicky yuko kwenye fomu ile mbaya......Anakamua mpaka raha...
Hivi mlitegemea kupita kweli??? aisee poleni maana nilitoa pole kabla hata ya mechi...!!
Proud of Arsenal, washabiki wenzangu nafikiri tumefurahia kiwango cha jana na kile tulichoonyesha kwa Tottenham na Liverpool.....tuombe kheri na nguvu, furaha yetu izidi....VIVA ARSENAL....VIVA!!
Hivi mlitegemea kupita kweli??? aisee poleni maana nilitoa pole kabla hata ya mechi...!!
Halafu uncle Tom Rosicky yuko kwenye fomu ile mbaya......Anakamua mpaka raha...
umeona mkuu ... ana match zake ... nadhani man city .. matumbo yashaanza kuwauma .. kwani uhakika washapoteza point tatu , tukikutana nao kwenye ligi ..
....alipoondoka Nasri na Fabregas mwanzo tu wa msimu niliandika sasa ndio wakati wa kuona makali
ya Rosicky,.....
Bahati mbaya, mzee Wenger kwenye formation yake anapenda zaidi kumtumia Ramsey pale kati,
Rosicky anaishia kuchezeshwa out of position, right wing....
Kuumia kwa Ramsey imekuwa a blessing in disguise kwa Arsenal....hatujapoteza mchezo!
Huyu mzee akipenda inakuwa noma, hata Nasri alikuwa aking'ara pale tu Fabregas alipokuwa majeruhi
na team ilikuwa na pace kali ajabu...
Tuombee Ramsey aendelee kuugulia, na Rosicky na Van Persie waendelee kuwa fit...
Karibuni Europa