Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
dakika zetu za kushangaza ndo hizi....wakali wangu tupieni!
Walcott Off! Park inabidi anyoshe umuhimu wake kwenye hii game ya leo!Af naona ka kaumia?!
Huyo ndo Wenger amshaanza ubunifu...Ox off Chamakh on.
Poleni Arsenal sasa mkazane kutafuta nafasi ya 4
Park, Gervinho, Chamakha na Walcott!
Hawa wachezaji hawastahili kabisa kuvaa uzi wa Arsenal!
Pamoja na kutolewa nimeona kwenye mpira kila kitu kinawezekana!