Gervinho is boring!!
Chamakh sijui anakuja kufanya nini sasa.
Naona kipindi hiki cha pili timu haichezi vizuri kabisa! Wenger anahitaji kufanya mabadiliko
Kwanini Gervinho asingetoka???
The OX usiumie plzzzz
Hizo sub ndo kaharibu, angemtoa Walcot naona anawanyima wenzake ushindi.
Tatizo hana madhara! Anakaa na mpira but at the end anaupoteza!ana uwezo wa kukaa na mpira mda mrefu huku wenzake wakijipanga mkuu
walcot kawa mbahatishaji sana siku hizi sijui kwanini babu anamuentertain huyu theo
Hili ni jukwaa la michezo mkuu...kumbe huku tupo wote?
Nakule kwenye magamba hama basi!